Good afternoon thinkers. Yesterday was in chamber s in one of the District Land and Housing Tribunals and i happened to find an application brought by way of Summary procedure under Order XXXV of the Civil Procedure Code Cap 33 R.E 2002. Is the same sustainable?
Kuna kauli imetolewa na mwanasiasa mmoja kuwa watanzania wamechoka haya "mambo ya vyama" na wanataka "maendeleo".
Japo hajatuambia watanzania waliyasemea hayo wapi au kupitia utafiti upi lakini sina shaka sana juu ya nini hasa watanzania watapewa baada ya kuwa wamechoka "mambo ya vyama".
Ni...
Tumeona wenyewe jinsi ambavyo viongozi wetu wanavyoshindwa kuratibu zoezi dogo tu la kukusanya na kuwasilisha rambirambi kwa wahanga wa ajali ya Arusha na Tetemeko la Ardhi huko Bukoba.
Najiuliza tu kama rambirambi tu imetutoa jasho viwanda tunaweza?
Kwa muda wa siku kadhaa sasa Mheshimiwa Lazaro Nyalandu amekuwa akitoa taarifa mbalimbali kuhusu vijana wetu waliojeruhiwa katika ajali huko Arusha. Taarifa hizo zilianza kutolewa kuhusu safari yao kwenda Marekani kutibiwa na sasa taarifa zinazoletwa na Mh Nyalandu zinazungumzia aina ya matibabu...
Nimesikitika sana kusikia jinsi ambavyo watendaji wa vyombo vya Ulinzi na usalama wakikataa kuhusisha tukio la mauaji ya polisi huko Mkuranga na ugaidi. Nieleweke kuwa sishabikii mauaji au ugaidi. Mshangao wangu unatokana na sababu zifuatazo :
1. Uchunguzi wa tukio zima ndio kwanza umeanza na...
Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. Japo sio kila mara mawingu huleta mvua lakini kila yaonekanapo walau kunakuwepoa matumaini au labda hisia kuwa mvua itanyesha. Hali ya kisiasa ya nchi yetu chini ya awamu hii ina dalili nyingi ambazo zikitazamwa kwa pamoja na haiba na kaliba za...
Nimesikia Waziri Nape Nnauye akitaja wajumbe wa Tume aliyounda kuchunguza saga la Uvamizi wa Clouds Media Group. Ni hatua muhimu sana.
Tume hiyo imeundwa na waandishi watupu ilihali swala lenyewe ni mtambuka na linahitaji watawala mbalimbali.
Kutokana na aina ya tukio, nilitarajia kuona...
Tuliona wote jinsi swala la mwalimu Frank lilivyoshughulikiwa na mawaziri watatu kwa mpigo na jinsi ambavyo lilishughulikiwa kwa haraka sana.
Mawaziri hao wote wapo na wanajua kilichotokea huko Clouds Media
Ukimya wao unanishangaza sana. Zaid namuona Mh Nape akijihangaisha peke yake huku...
Nimesoma tangazo la kurugenzi ya mawasiliano ikulu kuhusu konachoitwa kutolewa kwa madaktari 500 kwa serikali ya Kenya kwa ajili ya kutoa huduma nchini Kenya.
Katika tangazo hilo, Waziri wa Afya amenukuliwa akisema kuwa wapo madaktari wengi waliohitimu ambao hawajaajiriwa na pia wapo walio nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.