Search results

  1. pansophy

    LUKU hainunuliki, TANESCO tatueni kero hii

    Maharage Chande na Januari Makamba mzigo umewashinda. Luku hainunuliki muda huu na taarifa hamtoi, hili shirika la umeme sio hisani ni haki yetu
  2. pansophy

    DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    Sasa ni mendoza wa Netflix na Startimes
  3. pansophy

    DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    DStv Tanzania mmeamua kutuibia waziwazi au watu wenu wa huduma kwa wateja hawajui wanafanya nini. Nimewapigia simu kabla sijanunua kifurushi wakanihakikishia ya kuwa ntapata kifurushi cha juu yake badala yake wakaanza kuleta stori ya kuwa kifurushi kilikuwa upgrade kutoka January. Kama kuna...
  4. pansophy

    Nilichoshuhudia juzi siasa zinatimiza kauli ya 'hela zinawatembelea wenye hela, aliyenacho ataongezewa'

    Sitashangaa kuona zaidi ya 40% ya walioongoza katika kura za maoni kupinduliwa
  5. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    jopss, Shukrani sana mtaalam kwa majibu yako maridhawa. Ntashukuru kama nitaweza kupata mawasiliano ya mawakala wanaotambulika.
  6. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    nataka kuagiza kutoka nje ya nchi, haya maduka hawatoi maelekezo ya kutosha namna ya kuingiza
  7. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Hauwezi kufanya taratibu bila kuwa na namba ya bastola na aina. Nataka kujua nikinunua nani anakuwa custodian wa silaha yangu mpaka hapo ntakapo kamilisha taratibu za kiserikali
  8. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    nataka kufuata taratibu za nchi, changamoto hakuna sehemu ambayo wanatoa maelekezo ya kutosha
  9. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    utaratibu wa kumiliki naufahamu, tatizo hauelezei namna ya kuingiza kutoka nje ya nchi. Kitu ninayotaka haipo kwenye maduka yetu ya ngome ya tanganyika arms
  10. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Habari wanajamvini Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
  11. pansophy

    Membe, January na Nape ni pete na kidole, Rais kuwa makini

    Anakuwa yupo IKULU, wewe unakuwa wapi?;)
Back
Top Bottom