Search results

  1. A

    Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

    Mheshimiwa Ahmad Rashid apambane na asiogope hakuna mtu mwenye hati miliki ya siasa za nchi kila mtu ana haki ya kushiriki katika siasa za nchi. Maalim seif amekwisha nogewa. Ila na wewe uache tabia ya kuwasakama wapambanaji wengine kama CHADEMA. Chama chenu kimepoteza mwelekeo na sasa...
  2. A

    Migogoro ndani ya vyama vya siasa

    Nchi yetu ilipoingia katika mfumo wa vyam vingi haikuandaa mazingira mapya ya siasa nadio chanzo kikubwa cha migogoro. Chama Tawala hakikuruhusu mfumo huo kwa moyo mweupe. Katiba ya nchi iliendelea kuwa na vikwazo vingi kwa watu kushiriki kikamilifu katika siasa na badala yake kila chama kikawa...
Back
Top Bottom