Search results

  1. T

    Mch. Kakobe hajawahi kushinda akiwa pekee yake au na kundi lolote

    Wewe uliyeandika hii habari huna majini kweli wewe? Wewe siyo pepo unayetumiwa na baba yako shetani! Shetani baba wa uongo nyamaza kimya katika Jina la Yesu! Pepo uongo wako kwisha! Askofu Kakobe kila Jumapili yuko Kanisani kwake akikukung'uta halafu leo unataka kudanganya watu kwamba amehamia...
  2. T

    Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

    Mikorogo, mawigi, makope, na mauchafu mengine ya kazi gani??? Mungu angetaka uwe na makope, angeshindwa nini kuyaweka? Lakini amekuumba hivyo ulivyo akakutofautisha na paka! Tujikubali!!!!!!
  3. T

    Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

    Na hii ndiyo sababu moja napenda sana mafundisho ya Askofu Kakobe!
  4. T

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Wewe thibitisha kwamba Askofu Kakobe alitafuta au alitamani kuwamo katika Bunge la Katiba. Rudia tena waraka wake uone. NA NINAVYOMJUA ASKOFU KAKOBE HATA ANGETEULIWA ASINGEKWENDA, SIYO WITO WAKE HUO.
  5. T

    ‘Mpiganaji‘ Bishop Kakobe

    Kama ni hasira, basi, kwa kuwa najua ni uongo, ndiyo sababu naukasirikia uzushi wake huyo anayesema Askofu Kakobe anajiandaa kuhamia kwenye tawi lake Boston..... anadanganya watu, na wale wasiofanya utafiti ni rahisi kuamini kama walivyodanganywa kwamba Kakobe anatumia uchawi wa Nigeria...
  6. T

    ‘Mpiganaji‘ Bishop Kakobe

    Wewe tuthibitishie hapa kwamba Askofu Kakobe "Anajiandaa" kuhamia Boston. Umejuaje? Na ni maandalizi gani anafanya ya kuhamia Boston? Na anapohamia huko Kanisa la Mwenge anamwachia nani? Kumbuka hili ni jukwaa la Great Thinkers na siyo Narrow Minded. Kwa hiyo tuthibitishie hapa. Otherwise, eidha...
Back
Top Bottom