Search results

  1. N

    Wakuu ninasumbuliwa na panya wanatafuna nyaya za tv

    Tafuta hii product utafurahia matokeo. takealot.com
  2. N

    Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

    Nimekuelewa Tarakilishi kwa maelezo yako yenye busara. Ukweli kuna watu hawaamini kama mitandao ya kijamii inaweza kuwapa wenza wema wa maisha yao. Lakini pia hata huko wanakokuzungumzia kuwa ni salama kupata mwenza, bado watu hukutana na changamoto nyingi sana. Kwa mimi naamini Mungu wetu...
  3. N

    Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

    Hahaha Tarakilishi umenifurahisha sana. Yani unataka kujua kama mimi ndio mkeo? Hapana bwana. Mimi ID ya mumewangu naijua sio hii yako. Na pia maelezo yako sio kama vile mimi na yeye tulivyofahamiana. Sisi tulichukua miezi kumi toka tufahamiane hapa JF mpaka kufunga ndoa. Shukran pia kwa...
  4. N

    Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

    Hapana NO04 wala sio utani. Sina sababu ya kudanganya kwa kitu kama hiki. Kweli namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunikutanisha nae na wala sifikirii vibaya kwamba wote tulikuwa tunatafuta wenza humu na ndio tukakutana. Hii ni sehemu tu kama vile sehemu nyingine ambayo unaweza kupata mwenza.
  5. N

    Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

    Shukran sana Shunie. Mapenzi hupatikana popote tu na wala hakuna sehemu maalum ya kutafutia mwenza iliyo bora kuliko nyingine. Cha msingi ni kuwa na nia ya dhati na wala si dhihaka.
  6. N

    Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

    Hongera sana Dumelo! Hii JamiiForums hata mimi ilinipatia mume mwema sana. Yaani tupo kwenye ndoa zaidi ya miaka mitatu sasa na tumebarikiwa mtoto pia. Tunapendana na kuheshimiana sana. Ila ni muhimu kuwa na subira kwenye kutafuta na pia kumuomba sana Mungu akuongoze kwenye utafutaji wako.
  7. N

    Ishawahi kutokea mahusiano humu JF watu wakafunga ndoa?

    mimi pia nilipata mume wangu humu na sasa tunamiaka mitatu katika ndoa na pia tumebarikiwa uzao. Kila mara tukikumbushana jinsi tulivyokutana huwa tunaona ni kama miujiza tu. Humu Jamii forum kuna watu wa maana sana cha muhim kwa mtafutaji ni kuwa na subira na hekima ya hali ya juu. Ukweli...
  8. N

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Good move Leah2! Halafu usitishike na kuambiwa eti unajisikia kwa kuwa umewaomba hao watuhumiwa watoke nyumbani. Hii ni kawaida kuisikia kwa mila zetu hizi za Kiafrika. Lakini pia hata kama ungeondoka wewe na kuwaachia nyumba bado kunawatu wangekwambia unajisikia. Cha msingi ni kufanya lile...
  9. N

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Hili wazo inabidi ujeumshauri namtoto wako wa kike, maana watu kamanyie ni rahisi sana kushauri kwa watu baki ila si kwa familia zenu. Halafu unafikiri kutokuzaa kwakwe ndio kumemfanya huyo mume azae na sheji yake? Ukweli hata kama Leah angekuwa nawatoto huyu jamaa bado angelala na shemeji yake...
  10. N

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Dada Leah2 pole sana kwa mtihani mgumu. Pia nakupongeza kwa kuweza kuwa jasiri na kufuatilia mambo kwa upole. Nimejifunza jambo la maana sana kutoka kwako. Kuhusu hii ndoa yako mi naona hauna haja ya kuwaza sana. Ni kweli jamaa hakuheshim na inawezekana alikubali kufunga ndoa nawe kwa sababu...
  11. N

    Kusafisha na kung'arisha uso vizuri, tumia face wash au facial cleanser

    Ndugu Magnificent hongera sana kwa mada nzuri. Mimi ngoja nichangie kwa uzoefu wangu ambao nimeifunza kupitia mawazo ya watu kama nyie. Mimi huwa nina ratiba kabisa ambayo nimeiweka kwenye board. Hii hunisaidia kuniguide kila siku ni nini natakiwa kufanya kwa uso wangu bila kupoteza muda...
  12. N

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Ni kweli kabisa wanawake ndio tunaongoza kwa kuzidhoofishafamilia kwa kuendekeza michango isiyo na tija. Ila mimi nipo huru hadi raha. Sina presha ya michango hata kidogo. Naonaga hapa ofisini watu wanavyohaha kutafuta pesa za kuchangia masherehe. Yaani hili ni janga linalohitaji hekima hasa...
  13. N

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Wala usijipe presha ya kuomba michango kwa harusi yako. Yani ile uliochangia haitatambulika hata chembe, ni pale tu utakapo omba michango ya harusi yako ndio utaona kasheshe lake. Kama kweli unataka kuwa huru na michango ni muhim sana kutokuchangisha ya kwako. Hata mimi na baba watoto...
  14. N

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Yaani haya mambo ya michango ya sherehe yanarudisha nyuma maendeleo sana tu. Maana unakuta umechangiwa na baba mtu ila unakuja kuchangia kila ndugu na jamaa wa huyo baba aliyekuchangia. Kwa ujumla michango inatengeneza chain isiyoisha. Na nilipoliona hili haraka nikalifanyia kazi. Kuna ambao...
  15. N

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    mimi sichangii sherehe yeyote, hilo linajulikana hata kazini kwangu. Na kuweza kufanikisha hili kwenye harusi yangu sikuchangisha mtu hata mmoja. Mimi na mumewangu(mchumba kwa kipindi kicho) tulikubaliana kufanya sherehe ya kipato chetu, ambayo kiukweli ilikuwa ni ndoa na watu wakala ubwabwa na...
  16. N

    Mapenzi yanauma sana, niliwaza mpaka kujiua kisa kupenda

    Kalinzi Nyumbani pole sana kwa mkasa uliokukuta, pia hongera sana maana umeweza kujizuia kutokujitoa uhai. Huyo binti anaongozwa na tamaa hivyo hakufai kabisaaa. Wasichana katika umri fulani huwa wanakuwa na malengo ya kupata wenza wenye pesa tu maana wakidhani maisha ni pesa. Hivyo huwa ni...
  17. N

    Msinishangae jamani!

    Mwalim Shine G inakubidi uwe makini sana na maamuzi yako. Mi nakushauri usiwe rigid sana kwenye hilo maana usije mpata mwenye hela halafu ukawa unaziona kwa macho tu na ukabaki kuwa mtumwa. Jitahidi sana kuwa mtafutaji wewe mwenyewe badala ya kufikiria kutafuta mwenye hela zake. Mara nyingi...
  18. N

    Pharmacy inayopokea kadi za NHIF (DAR)

    Habarini za leo ndungu zangu, Mimi ndugu yenu naomba kufahamu pharmacy yeyote iliyo Dar, hasa maeneo karibu na Tazara, Ilala, Buguruni na karibu na hayo ambayo hawana usumbufu katika kutoa huduma kwa kutumia kadi za NHIF. Mzazi wangu anatumia dawa za kisukari (special clinic dose). Hata...
  19. N

    Kuna watu hatuna bahati

    Nakuomba usiogope mdogo wangu, ni kama wadau walivyosema hapo juu, maisha yanachangamoto ambazo ndio zinatufanya tuwepo hapa. Imagine kama wote hapa duniani tusingekuwa na changamoto hali ingekuwaje? Kwa hiyo wewe chukulia hiyo ni sehemu ya maisha na pia kazana sana ufanye vizuri kwenye masomo...
  20. N

    Daktari: Ulaya kamwe hawang'oi meno, wanakarabati

    Dumelang, Tafadhali na mimi naomba mawasiliano ya huyu DR. wako. Mama yangu anahitaji hasa msaada kwenye hili. Please!
Back
Top Bottom