Search results

  1. Mashilambah

    Justin Nyari ameanza mbio za kumrithi Lema Arusha

    hii nimeipenda sana!!!!
  2. Mashilambah

    Jeshi la polisi hakuna kitu

    kweli kabisa mkuu police nchi hii ni zero zero kabisa!!!!! hawana tofauti na wanojiita eti usalam wa taifa. jwt nawakubari sana!!
  3. Mashilambah

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    nimekubali nguvu ya umaaa!!!!!!
  4. Mashilambah

    Mbowe atoboa siri

    hakika mkuu!!!!!!!!
  5. Mashilambah

    Kiwanja kiwanja kiwanja kiwanja kiwanja kiwanja

    kama vp njoo GOBA KUNGURU km 3 kutoka bagamoyo road na mt 150 kutoka barabara ya goba. sqm 1 =10000 tzs
  6. Mashilambah

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    kweli kbisa........
  7. Mashilambah

    Tabora yangu Tabora

    Mashilambah;3193511]nimezaliwa tabora isevya , tatizo mojawapo la kuwa nyuma ni hawa waarabu maana biashara zote wamekamata wao na wanaabudiwa sana na viongozi. kubwa zaidi UHIRIKINA![
  8. Mashilambah

    Tabora yangu Tabora

    nimezaliwa tabora isevya , tatizo mojawapo la kuwa nyuma ni hawa waarabu maana biashara zote wamekamata wao na wanaabudiwa sana na viongozi. kubwa zaidi UHIRIKINA!
  9. Mashilambah

    Kanumba & Kigosi

    kama viongozi wa nchi na wasomi hawana ubunifu unategemea nini kwa vijana kama hao ambao hata elimu yao ni ya mashaka.kama huyo ray kipaji zero Kabisa, watazamaji wao wengi ni ma house girl na mashangingi. ushauri wangu waende chuo cha bagamoyo. PENYE NIA PANA NJIA!!!!!
  10. Mashilambah

    Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

    aisee silaha hatari!!!!!!!!!!!!!!pole sana mkuu. R.I.P GM.
  11. Mashilambah

    Kilewo: Sintompongeza Rais juu ya swala la wapangaji kwani ni wajibu wake, mkuu wa mkoa ni bomu

    Ndio aina ya watendaji wanomzunguka Rais na ndio maana nchi hii inayumba!!!! Uwezo wao wa kufikiri na kubuni umefika UKOMO, NAKUPONGEZA RAIS.
  12. Mashilambah

    Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

    Kweli semina elekezi kwa wa wabunge na hata viongozi ni muhimu, iwepo sheria ya kuwabana!
  13. Mashilambah

    Kipindi cha Jahazi na Kibonde kuhusu usalama na umuhimu wa kujihami na ajali

    jamani kibonde anamanisha kwa safair ndefu ni vizuri kuwa na msaidizi[dereva] kwa mtu TEGEMEO NA MPIGANAJI kama REGIA. Nadhani uongozi wa CHADEMA watafanyia kazi swala hili...x R.I.P REGIA.
  14. Mashilambah

    RiVALDO Ajiunga na timu ya ligi kuu ANGOLA Kabuscorp

    ni mmoja wa wachezaji wazuri dunian!!!!
  15. Mashilambah

    Wenje asambaratisha CCM Sengerema

    Nimekubali mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  16. Mashilambah

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Kazi ya mungu haina makosa! R.i.p regia
  17. Mashilambah

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Kazi ya Mungu haina makosa! R.I.P gina!
  18. Mashilambah

    Ni kuhusu lile Jambazi la Arusha .....

    Mkuu kweli kabisa!!!!!!
  19. Mashilambah

    Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

    mkuu tatizo kubwa la ITV hawaangalii VIPAJI wanaangalia VYETI na VI MEMO katika kupata watngazaji, vile vile ITV hamna ubunifu kwa kweli inabidi wajipange maaana kuna wenzao wanakuja kasi na vizuri sana. EATV wanafanya vizuri.
Back
Top Bottom