Search results

  1. FairPlayer

    Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ila wabongo hatuna akili. Ukisoma humu unagundua hilo kwa uwazi kabisa 6 pages zimeandikwa pumba tupu
  2. FairPlayer

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Hawa walitenda kosa. Hata kama kulikua na figisu lakini KOSA lililowapeleka jela walilitenda.
  3. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Atakua amekufa au amekua tajiri.. Lol
  4. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Pamoja na yote Condor tulikua tunamzunguka na kuendelea ku post mpaka Mwanakijiji akatupa uhifadhi wa muda..
  5. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Sasa ilikusaidia nini kaka?
  6. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yes. Sijui yupo wapi?
  7. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yule kaka yako Ngabu the nini yupo wapi
  8. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    RajPatel na kiingereza chake na kukashifu waafrika!!! Una miss kutukanwa?
  9. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nguruvi3 mie nipo ila nimekua mzee sana kaka
  10. FairPlayer

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Ushahukumu kabla hamjampa jamaa nafasi ya kujitetea. Tupical wabongo. Kazi ipo. Basi kaa hivyohivyo endelea kuota. Hamna kipya wala lolote kitakachofuata
  11. FairPlayer

    JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    Dah tumetoka mbali. KIRANGA yupo?
  12. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Bwana Phil Nadhani pia kipindi cha BCS internet ilikua kwa watu wachache na waliokua nayo walikua ni wanaojielewa kidogo. Sio kama sasa. Nani anamkumbula Me against Kikwete? Ingawa alibadili jina baadaye?
  13. FairPlayer

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Kama ndo kupokea hela za kampeni kwa kutoa kuja kusaidia baadaye (ambayo hatuna uhakika kama ni kweli) hiyo inaitwa lobbying. Kwani sasa hivi nikikupa hela utakataa? Tena iwe unashida kama hiyo aliokua nayo jamaa? Mbona mama Tiba alipewa na akakiri na yupo? Kwanza wote hatuna uhakika na hili...
  14. FairPlayer

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Inawezekana mie ni fisadi maana sijui maana ya Fisadi. Niliambiwa Lowassa ni fisadi mpaka leo nasubiria evidence sijaiona. Ufisadi ni nini mkuu wangu?
  15. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Mtaalamu yupi huyo? Kuna mmoja alikua anaandika kiingereza kigumuuuuu ndugu yake Nyani Ngabu. Sijui naye yupo wapi
  16. FairPlayer

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Kwahiyo dawa ni kuacha kufanya kazi na kuwashambulia social media? Hii ni Tanzania hii ni Africa.
  17. FairPlayer

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Duh!! Wabongo tunaweza aisee. Tungekua tunachapa kazi kama tunavyoshambulia watu social media!!
Back
Top Bottom