Search results

  1. M

    Msafara wa mamba na KENGE WAPO..!

    Tena Kenge ni wa muhimu kuliko inavyofikirika yote ni ili wafanikishe mambo fulanifulani! Kwan mbona ata wakuu wa wizara ya madiii na nishaaa walivunga kuwa Kangez ili wamlinde mshikaj, du ila issue imewageukia na kwa ss inaonekana kuwa ya Makengezzzz....
  2. M

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Huo ni uchochezi,tangu lini CCM ikawa ata muswada wa kuimarisha nchi?
  3. M

    Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

    Hiv wakuu ikitokea MB kama huyo akachafua hewa mjengoni wakati kama huo waheshimiwa wakiwa wanatoa hoja zao nzur nzur na za msingi muongozo wa spika unasemaje? Ahsanteni sana...
  4. M

    Wanawake huvutiwa na nini katika mahusiano?

    Mi nadhani walivyoongea waheshimiwa hapo juu wamejarb kwa kiac kikubwa na kama mheshimiwa haujaridhika naomba nisubir nimuulize huyu bint aliyeko mbali nami,"eti we mdada nyie huwa mnavutiwa na nini katika mahusiano"? Tungoje jibu toka kwake manake yy ndo mhusika mkuu....
  5. M

    natafuta mchumba-serious pls no jokes!!

    Vipi huyo "mchumba-serious plis no jokes ni nani? Ss huku kwe2 hatumfahamu labda jarb kwenye facebook au twitter wenda wanampata na unaweza pata taarifa zake kwa undan zaidi! Duh....umechemka vibaya,pole sana!
  6. M

    Nikimwona mpenzi wa zamani roho inashtuka, hii inakuweje

    Au kwa ushaur mbaya zaidi manake tabia ni kama ngozi ya mwili,kwa kuwa u see u can not stop from thinkin on her na wala ukimwona tena huwez kuacha kushtuka,endelea kushtukashtuka na utapo pass away wanao na mkeo ndo watashtuka zaidi ya unavyo shtuka ww kwa ss!!!! CKU NJEMA....!
  7. M

    Nikimwona mpenzi wa zamani roho inashtuka, hii inakuweje

    Kwakua wenda mlishadu, ndo maandiko yatadhihirika hapo na ndo maana 2nashauriwa kuacha kudu mpaka wote 2 mtakapofikia umri wa kutosha na kuweza kuishi pamoja. Tofauti na hapo my friend ni vema uka2bu ili kuacha kukumbuka au kufikiria uchafu huo mliowahi kuufanya la sivyo utaendelea...
  8. M

    Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

    Hapo shwar kabisaa mkubwa...! Kama vp amuumbe wakwake mwenyewe kama mgomba na auweke ndani mtaani asigombaniwe.
  9. M

    Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

    Lipi jema,kuliko kumwaga mchele penye kuku wegi kwann ucpige magoti na kumuomba ur Lord akusaidie? Vp ukimpata KIBAKA then baadae akusumbue hadi uone hamna haja ya kuoa tena,huoni utakuwa umejinyima haki yako na kupingana na maandiko matakatifu.....!
  10. M

    Hodi wana jf..

    Hello people... nimeingia jukwaani nikaribisheni waungwana...
Back
Top Bottom