Search results

  1. C

    Mwigulu Nchemba amelala wakati jambo nyeti linaendele (kamati ya kumchunguza Jairo on stage)

    Mi nadhani, hili tatizo la wabunge wetu kuuchapa usingizi mjengoni, linazidi kukua siku hadi siku,tusipoangalia inawezekana siku moja,tukamshuhudia Spika wa Bunge naye akiwaunga mkono hawa "wazee wa kutafakari" kwa kuuchapa usingizi. Sijui nani ataendesha mjadala sasa? Nadhani hapo ndipo...
  2. C

    CAG anapotumia ofisi ya uma kwa kampuni zake binafsi!

    CAG naye ni binadamu,anaweza kupotoka na kutenda makosa kama tulivyo sisi, hivyo basi tusiondoe uwezekano wa yeye kutumiwa na baadhi ya watu, kwa maslahi binafsi kwani hili pia linawezekana. Kuitwa Mkaguzi mkuu sio tija, naye pia anaweza kupindisha baadhi ya mambo, kwa ajili ya tumbo lake kama...
Back
Top Bottom