Search results

  1. YEYE

    Nahitaji Huawei Mate 7

    Kwa anayeuza Huawei Mate 7 tuwasiliane. Muuzaji na awe mkoa wa Dodoma au Morogoro kwa kuwa itakuwa ni virahisi kwangu kuiona hiyo simu na kufanya biashara.
  2. YEYE

    Hivi Kwanini Lowassa anautaka Urais?

    Alishawahi kukwambia au kutangaza kuwa anautaka Urais?
  3. YEYE

    Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

    Huyo bibi harusi ni zaidi ya masupa staa hawa wa kibongo, alikuwa ni video queen huko kwa Obama kafanya video nyingi na akina T.I, 50 cent na Rick Ross..humu kuna hii thread ilishawahi kuwazungumzia au google jina lake ka utakuwa upo interested kumfahamu.
  4. YEYE

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Upo siriaz au unatania? Uliza wanaongoza kuchukua UCL huko England ni timu gani...
  5. YEYE

    The Cerebrity Show:Helen Kazimoto.

    Kipindi chenyewe wanatelezea tu kwenye tiles baada ya kumwaga mapovu na mlenda.. Wame copy na ku paste kipindi kinaitwa ''Played by Fame'' cha BET
  6. YEYE

    tatizo la hasira za mara kwa mara

    Sio ndo ataongeza tatizo? Akitokea kupenda timu af matakeo ya hiyo timu yawe sio mazuri .. Akishabikia timu ka yangu ya Liverpool ataishia kuongeza tatizo, ka ana roho nyepesi.
  7. YEYE

    Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

    Swali zuri sana hili...
  8. YEYE

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    Kulikuwa na ulazima gani wa ku qoute post yote ile? Ka hauna la maana la kuandika, mnatusumbua tunaotumia simu.
  9. YEYE

    Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

    Naona Divinity imembeba.
  10. YEYE

    Katiba mpya iwe na kipengele cha presidential debate

    Mwisho wa siku mdahalo utasaidia nini? Watanzania sidhani ka huwa wanapiga kura kwa kuangalia sera za chama. Asilimia kubwa hata kama kampeni hazijaanza anajua atapiga kura kwa chama gani. We mwenyewe nina uhakika hadi sasa tayari kura yako ipo kwa chama gani 2015 hata kama kuna chama kingine...
  11. YEYE

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    Mwisho wa siku we ndo utaonekana kilaza.. Ka muhusika aliyeanzishiwa thread atakuja kujibu
  12. YEYE

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    Hongera sana kwa kupata ''promo ya bure'', wengine hadi wanakuita jembe, kamanda, woman of the year nk.. Ndo najiuiliza kwa issue gani ya maana uliyoifanya hadi sasa wakati kwenye ulimwengu wa siasa umaarufu umeanza kuupata hadi miezi haijafika na hasa kupitia jina la Wasira.
  13. YEYE

    Hili linamaanisha nini apa udom

    Nadhani alitaka kusema hostel walizopangiwa wanafunzi wanakaa ground flow na floor ya kwanza, kuanzia ya pili na kuendelea hazina watu waliopangiwa... Nadhani itakuwa wamefanya hivyo kwa kuwa vyumba ni vingi kuliko wanafunzi, au mwaka wa pili na wa tatu bado hawajaripoti, wakija watakaa sehemu hz.
  14. YEYE

    Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

    Kafanya uthubutu kwa lipi hasa au kupata huo u-viti maalum?
  15. YEYE

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    Jitahidi kuendelea kumkingia kifua, unaweza ukaja kuwa msemaji wake baadae.
  16. YEYE

    Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

    Soma vizuri, amemwambia Pasco kuwa videographer yupo na sio kuwa Pasco ndo videographer.
  17. YEYE

    PICHA: Lawrence Masha APIGA SALUTE Marehemu Barlow; Kwani yeye Ni Waziri wa Ndani au bado Ndoto?

    Kumbe umeleta ili upewe msaada, sasa unachowabishia watu wanakupa msaada nini? Nadhani umeileta ukitegemea raia watapiga madongo kumbe sio..Watu wanamaliza shule hawajui kusoma na kuandika, sishangai pamoja na wewe kupitia JKT haukujua hata kupiga hiyo salute.
  18. YEYE

    Esther Bulaya VS Esther Wassira

    Soma tena post yako..
  19. YEYE

    U-CLASS hii ni kweli?

    U-CLASS ndo nini?
  20. YEYE

    Simu feki za kenya zinaingia kwa fujo tanzania

    Mngetuambia simu fake zenyewe zikoje af ni Watanzania wangapi wanauwezo wa kununua simu original?
Back
Top Bottom