Search results

  1. Dr.kapama

    Miss neddy baada ya kutoka kwenye Birthday Party ya beby yake Excel Jana jioni!!!

    This must be somewhere in Russia...si bure, izo liqour ni shida...
  2. Dr.kapama

    CCM na UKAWA suluhu ya bunge la katiba hii hapa

    Jamani samhanini kuuliza sio ujinga...hivi UKAWA ni nini? Mwenye ufaham naombaa anijuze
  3. Dr.kapama

    Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

    Kwenye die hard five ya 2013 tu nlikaona ka-vitz... Isitoshe wao wenyewe wnajua hasara ya hayo mashangingi ndo maana hawayaendeshi ovyo... C'mon man badili mtazamo wako uwe na fikra chanya kuhusu hili... Ni hayo tu
  4. Dr.kapama

    Anguko la Diamond Platinumz kimziki

    Hii ni point kabsaaa...tatizo watu wanafikiri mziki ni kufanya kitu ambacho wachache tu wanakipenda. Unakfanya kitu watu wengi waridhike.kufanya kazi ili watu wengi iwezekanavyo waridhike. Nashanga mijitu mingine haina uzalendo na vya kwao. Dogo anapiga mzigo, chuki zako peleka kuleeee...
  5. Dr.kapama

    Just simple

    I guess sometimes nchi zao zinaruhusu wao kufanya ivyo..ivi kweli hata kama ni wewe ndo waziri saa hii utajipata ndani ya UDA?...
  6. Dr.kapama

    tatizo password apple ipad 4

    Sometimes anaweza akawa anasahau kuanza na upper case letter coz thats how apple ID mara nyingi zinafungwa...
  7. Dr.kapama

    Waifu ananitegea!

    Aisee bidada umetisha...ivi wife kama ninyi si mpo wachache sana eeh?...
  8. Dr.kapama

    unatumia jina gani instagram??

    Hahaha is this da name or train...?!?
  9. Dr.kapama

    Nombeni Link ambayo Naweza Ku-download Movie za SHREK

    Hiyo file ndo inafanyaje mkuu?
  10. Dr.kapama

    CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

    i'm so glad that he made it.............
  11. Dr.kapama

    Bongo movies...

    Duh...nomaa
  12. Dr.kapama

    Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

    Jamani mi nataka kujuzwa...kwani izo bei ni nani hasa pale TRA ndo wanazipanga...coz mnaweza lalamikia staffs wote kumbe kuna mijitu imeamua tu kukomoa watz...
  13. Dr.kapama

    Pita hapa ushauri kisha nasema asante na uondoke zako.

    Umekosea...kwanini utembee na mchumba wa mtu ilhali huna nia ya kumuoa?... Ivi kweli kuchapiwa ni siri ya ndani...kweli??:what::D:confused::eek:
  14. Dr.kapama

    Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

    Kwa hiyo ndo kusema town hakuna wanawake wa kuoa,ila ukiwa na gari unakidhi haja then unasepa.... Hii mitazamo imetisha... FA kasema usije mjini, ndo naamini sasa....
  15. Dr.kapama

    Hauwezi amini katoka salama

    Alitoka vipi aisee...?!!!?
  16. Dr.kapama

    Nani yuko macho tupige stori?

    Jamani mnakaribisha walinzi wapya humu ndani?
  17. Dr.kapama

    Soma tu unaweza ukapata fundisho!!!!

    dah kweli nimeamini "Mwanamke mzuri, -------- ni kama pete ya dhahabu,kwenye pua ya nguruwe...
  18. Dr.kapama

    Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

    no bado hujanifanya hivyo aisee...halafu mixer, dokta kamkanyaga chini asifurukute
Back
Top Bottom