Anayesifia Kikeke nakuponda wengine kama siyo mtanzania ni sawa. tofauti na hapo inabidi kwanza mjue mwandishi wa bongo anamatatizo gani kwani hakuna chombo kinacholipa vizuri na kikofanya hivyo ujue hakuna vitendea kazi hivyo lazima mwandihi ajigalamie kila kitu, huwezi kuingia chumba cha...
Inaonekana wewe ni mwandishi kichonganishi. Hii thread yako inaonesha kuwa ulitegemea Kagasheki akugawie wewe mapesa hayo lakini kutokana na kuyapeleka kwenye jamii itaji, limekuudhi na ukaamua kutuwekea hapa habari isiyo habari bali uchonganishi.
Kwani Kagasheki kuchangia darasa la shule siyo...
Kumbe wewe ndiyo mwandishi unayeeneza chuki binafsi, kinachotendeka unachokiandika na mbaya zaidi inatokea ambapo hujapewa posho, hii ni hatari kwa jamii inayokuzunguka hasa kuwaaribia wanahabari wenzako.
Kagasheki kuchangia ujenzi wa darasa kweli hiyo siyo nyenzo? Kagasheki kuunganisha vijana...
Ni baada ya kumaliza kikao chao cha utambulisho kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ambapo wakaguzi wamesema kuwa wanakagua halmashauri ya manispaa ya Bukoba kwa miaka miatatu kuanzaia 2010 hadi sasa.
Wamesema hawataki kuingiliwa kwenye kazi yao, isipokuwa wakiitaji ushirikiano kutoka kwa viongozi...
Kwa taarifa za ndani mkoani Kagera, zinasema kuwa CAG amewasili kukagua hali ya manispaa Bukoba, na hii ni kutokana na ushauri uliotolewa na kamati kuu ya CCM taifa baada ya kutokea mgogoro unaomuusisha Meya manispaa hiyo, baada ya kulalamikiwa kupitisha miradi bila kufuata taratibu.
Jopo hili...
Siku chache baada ya taarifa kuhusu meya manispaa ya Bukoba kusema kuwa anakesha ofisini akibadili nyalaka, na hatimaye yeye mwenyewe kusikika akiongea kwenye chombo kimoja cha habari kwa njia ya simu kuwa yuko nje ya mji, amebainika leo kwenye gari akiendeshwa huku ameinamisha kichwa chini...
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwatetea wananchi wake na kutowakumbatia mafisadi, kwa kuhakikisha wanafichua siri za watu hao.
Ametolea mfano manispaa ya Bukoba, kuwa CHADEMA inawaunga mkono madiwani waliosimamishwa...
Mimi ni mmoja wa walioudhuria mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake ikulu ya mkoa wa Kagera.
Alisema watekeleze mambo matatu yanayolalamikiwa, na kama kuna mambo binafsi hayo wayamalize wao wenyewe lakini hayawausu wananchi. moja ni kuwapatia viwanja watu 800 waliolipia mwaka 2001 kwa...
Hapo ndipo mjue ujinga wa CCM ukowapi, kama wanaweza kufukuza madiwani wanaolilia maslahi ya wananchi na wakaacha wanofanya deal za wizi wazi wazi.
Sasa huko ndo kutekeleza agizo la rais kuhusu viwanja na Soko?
Kiukweli CCM imefutika Bukoba, inajilinda yenyewe? Hooooooh!!!!!!!!!!!
Ni baada ya kutolewa ahadi kwa manispaa hiyo tangu mwaka 2008 kutokana na urafiki uliojengeka kupitia halmashauri hizo mbili, ambapo itakumbukwa kuwa waliwahi kutembelea huko madiwani akiwamo aliyekuwa naibu Meya DAUDA KALUMUNA na wengineo.
Baada ya kuwaalika madiwani 4 wa manispaa akiwamo...
Ni mpango alioupendekeza kwenye kikao cha baraza la madiwani kugawa kata ili kuongeza sehemu za kugombea katika muhula ujao.
Kuna taarifa za yeye kukataliwa kwenye kata aliyogombea msimu uliopita ya kagondo, hivyo alivyodokeza kugombea kwenye kata ya kashai anapoishi akaonekana hakubaliki ndipo...
Ni bora livunjwe ili wananchi wapewe nafasi ya kuchagu wengine kwani wamevurunda hadi mbunge amekuja kuwabumburua katika manyanga waliokuwa wamekubali kuyapitisha.
Saizi wamepanga kupitisha milioni 200 kulipa mthamini wa soko wakati tume inaendelea na uchunguzi wa taratibu zilizotumika huo...
Nisingependelea kuona anaendelea kuwa rumande, atendewe haki ya kupelekwa mahakamani kama alivyopelekwa mchina na kuhukumiwa akalipa faini ya laki 7 na kuachiwa hivyo na huyu hana kosa tofauti na hilo wakajanjanja wengi, leo anaonekana uchwara kwasababu ameomba fedha ya kujikimu lakini kama...
Kama angekuwa muelewa si mshabiki asingepinga hoja ya mchangiaji kwasababu kilichoulizwa ni kitu gani kipo kwaajili ya wananchi, na je kinatumikaje?
Mi naona tukitaja mali zilizowekwa kusaidia wananchi tusisahau taa za barabarani manispaa nzima iliwekewa na Kagasheki japo msemaji hakuzitaja...
Wandugu nimeweka sauti za viongozi hawa wawili hapa ya kwanza MEYA AKISISITIZA SIFA ZA KAGASHEKI alipohutubia July 2012 na ya pili KAGASHEKI SOKO HALIVUNJWI alipohutubia tarehe 24 novemba 2012, tafakali hapo.
Kagasheki anasifa ya kipekee ya ubinadamu na upendo kwa jamii kwani hiyo sehemu muhimu kwa jamii, ambapo kwenye matukio yanayowagusa wananchi yeye ndiye wa kwanza kuwafikia mfano mwaka 2010 Kata Kagondo mvua ya upepo iliezua nyumba na kuharibu mazao aliwatembelea na kutoa mchango wa vyakula na...
Nilibahatika kusikiliza kipindi cha Meya huyo kwenye redio moja hapo Bukoba ikiwa ni may 18 2012 na nilibahatika kumsikia Meya Amani akisema kuwa "kuna kambunge kamoja ka kike kutoka upinzani ambako hata nikikataja nakuwa nikijidhalilisha kenye mambariga akimaanisha miguu iliyoangalia pembeni"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.