Search results

  1. K

    Ubora wa gari aina ya Nissani X-trail

    Engine oil haubanwi na aina yoyote,unaweza tumia yoyote tu ila kwa gearbox ni lazima utumie nisani na kwa extrail kuna oil inaitwa Matic J ndo yake hiyo,inauzwa kwenye range ya 40,000 mpaka 45,000 kwa lita, zinaingia lita 4, ila unatembelea kuanzia km 60,000 mpaka 120,000 ndo unabadilisha.
  2. K

    Ubora wa gari aina ya Nissani X-trail

    Nimeelewa ulichoandika na ndo maana nikakujibu si kweli kuhusu hizo gari unazosema nyingi si 4WD, kuhusu 4WD ni uchaguzi wako wakati unanunua hayo maelezo mengine ni kwa muuliza swali wa mwanzo, usipaniki.
  3. K

    Ubora wa gari aina ya Nissani X-trail

    Hii si kweli,gari kuwa na 4WD ni chaguo lako mnunuaji,mm ninayo na nina mwaka wa tano huu na ni 4WD, ubovu au uimara wa gari ni ww mtumiaji kuzingatia matumizi na kuifanyia service kwa wakati.
  4. K

    Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

    Kaka hiyo mimba umetegeahewa,hakuna mimba ya namna hiyo,mwanamke ukutane naye kisha aanze kujisikia vibaya hapohapo na baada ya siku kadhaa anakwambia ana mimba,huyo alikuja nayo kwako kwa lengo la kukutega,kama huamini hesabu siki au miezi mliyokutana na mwende hospitali mkapime ujue ina muda...
  5. K

    Safari ya kurudi kutoka university of HongKong

    Unakwea pipa kurudi Tanzania kwa wiki mbili? utakuwa unakuja kwa meli wewe sio pipa, acha uongo.
  6. K

    SWISSPORT: Hakuna gawio la Hisa, kampuni inaenda kwa hasara

    Mara nyingi gawio linatolewa kila baada ya miezi sita sio mwisho wa mwezi
  7. K

    Leo hujaenda kanisani? Kwa nini?

    sio utetezi,hukujua kesho kuna ibada ukanywa kwa kiasi?
  8. K

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    mzee hii ni ID yako kwa kanda ya ziwa hasa wasukuma, wakerewe na wajita lina maana ya sehemu za siri za mwanamke zinapoota nywele za sirini.
  9. K

    Kushindwa kwa Yanga ni hujuma/siasa

    Mwandiko huo kaka kizungumkuti
  10. K

    Element mpya yagunduliwa

    Mkuu umetisha na hiyo element mpya
  11. K

    Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

    Mimi naona itakuwa vizuri kama utamuanzishia utaratibu wa kumfundisha au kama huwezi wewe jaribu kumtafutia mwalimu wa kumsaidia,kwa ulimengu huu wa leo ni vizuri zaidi akajua kusoma na kuandika na nina uhakika ukimsaidia kwa hilo atazidi kukupenda maana ataona unamjali pamoja na mapungufu yake.
  12. K

    Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Mikopo na wengine watatu wasimamishwa kazi

    Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mheshimiwa waziri kwa kuliona na kulitumbua hili jipu ambalo lilikuwa limeshakuwa sugu na inaonekana lilikuwa limeota mahali pabaya. Watendaji wa bodi hii wamekuwa ni kama hawapo na wala hawana shida ya kuwafanya wadogo zetu wasome kwa...
  13. K

    MSUKUMA: Maprofesa wawatafutie wahitimu wote ajira

    Labda alisoma somo la siasa
  14. K

    Historia ya kweli kabisa!!!

    Hapo kwenye nyekundu kama vile kuna chumvi kidogo,maana miaka hiyo hakukuwa na hiyo noti, bali sarafu.
  15. K

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Mmmmmmh! Mulisya.....................:shock:
Back
Top Bottom