Search results

  1. M

    Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

    a\az uamsho wana mjini vichwani,ni waislamu wanaomchukia Yesu kristo.
  2. M

    Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

    tumsamehe mfumo umemwaribu.mwenye macho haambiwi tazama.ccm kwa heri na kikwete wenu. Byeeeeee... Mtayakumbuka maovu yenu.sisi tuna mungu nyie mna hela za wizi.tutaona sasa..
  3. M

    ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

    tabia kama hizi utazikuta kwa magamba kwasababu hawana uwezo wa kufikiri hufikiri kama alivyosema masaburi.huna jipya.wewe sawasaw na wendawazimu wanaovaa kijani bila aibu.
  4. M

    Moto wa CHADEMA wazidi kuipasua kichwa CCM jijini Mwanza

    kuwa ccm ni lazima uwe kama mwendawazimu fulani kwa sababu hutaeleweka kwa mambo yanayofanywa nao hao ccm.
  5. M

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Mungu tunaomba utusaidie nchi hii isiyo na polisi waadilifu karibu wote ukianzia na said mwema sioni wema wake kabisa analea wizi,ufisadi,kumbuka said utakufa na dhamana ya hicho cheo utatoa hesabu zake,manumba unjiwekea mzigo mzito wa maisha yako ya huko uendako ukifa .acha unafiki wewe manumba...
  6. M

    Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

    ndesa nenda cuf ccm b.
  7. M

    Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

    ndesamburo kachoka,hakuna mahakama ya kazi bongo,kama rais alivyoshauri anzishen yenu wenyenye serikali isihusike,mnaacha kuanzisha shule mnakazana na mahakama ya kadhi,huo ni ugonjwa wa wanazuoni wengi,akili zao zimejaa ubaguzi tu,kila dini ikitaka hayo...
  8. M

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Kafulila njoo ccm kwasababu umefukuzwa ccmb njoo ccm a sisi tunalindana hatufukuzani,kulindana ndio misingi yetu sisi ccm,kwani hutuoni tunavyosafishana......karibu ccm kwetu hakuna hizo,tunalindana tu.hata ukikiuka tunakulinda,fikilia wangapi wanaongea nje ya vikao lakini wote...
  9. M

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Alichosema lema ni sawa kabisa ila kwa watu wenye akili za mgando hawawezi kuelewa hilo, maana ya sheria nilama zifuatwe na ziheshimie sio kuhurumiana angalia wenzetu mtu akikiuka tu ni out haijalishi ana hdhi gani huo ndio uongozi unaofuata maadili,watanzania wengi wamezoea kulindana kama...
  10. M

    Moto wa Katiba Mpya CHADEMA kutinga Ikulu; KAMATI Kuu yateua kamati ndogo ya muafaka

    toa maoni yenye akili siyo umbea hayo uliyotoa hapo juu ni mawazo ya kimaskini na ya watu wasiojitambua,ninamashaka na upeo waklo wa kuelewa,na elimu yako.chadema ni chama chenye akili na uwezo wa kufikili.
  11. M

    Vurugu MBEYA 235 wakamatwa

    polisi hawana elimu na hekima, lile jambo lilikuwa dogo sana wao kwa sababu hawafuati sheria na busara ni zero wanaendeshwa na sela za wavuna nchi ndio hayo yakatokeawala si siasa ila kwa polisi ni siasa za ccm,kwanza wameua watu,wameumiza watu,kazi ya polisi ni kama laana kwa maana unakubari...
  12. M

    CHADEMA waigeni CUF

    HIVI CUF IPO???MIMI SIJUI KAMA BARA KUNA CHAMA KINAITWA CUF,HUNA LA MAANA WEWE MTOA HOJA CHADEMA NI CHAMA CHENYE AKILI,HAKINA WANA ZUONI WASIOJUA KUFIKIRI LAKINI CCMB IMEJAA WANAZUONI AKILIZAO SIKU ZOTE zimejaa mawazo mgando ya udini na hakuna watu wenye udini inchi hii kama ccmb na ccm,nenda...
  13. M

    Kwa mwenendo huu polisi watatuharibia nchi

    Hamna kujitoa mhanga polisi wana hasila na njaa yao kali;nikuwaombea tu hawajui wanayemtumikia.mambo ovyo ,akili ovyo ,elimu ovyo,hao ndio polisi mpaka mashuka wanayolalia ni ya rushwa.
  14. M

    CHADEMA ni kama CCM..,ama mbaya kuliko CCM...!

    Wewe ni gamba la ccm,toa ujinga huoooooooooooooooooooo
  15. M

    CHADEMA ni kama CCM..,ama mbaya kuliko CCM...!

    Wewe una jipya unamawazo na uelewa mdogo cdm ni chama cha haki na cha wanyonge tatizo wewe unafaidika na uwizi unaofanya na ccm,mshahara wa dk slaa na mdogo mno ukilinganisha na mambo isitoshe ni mtu mmoja anyepata,acha kulopoka lopoka,huoni wenzio wanamkalibisha mtoto wa mfalme kisha na wewe...
Back
Top Bottom