Search results

  1. W

    picha za uhuru zinaongea zenyewe.partII

    sasa ndio wanamtisha nani? mi hata sitishiki.
  2. W

    Ujinga wa utotoni

    nilikuwa nalala na cousin zangu wawili, nikikojoa kitandani, naamka, nabadilisha chupi then namsogeza one of the couzin upande wangu wenye mikojo ili nisiimbiwe kindumbwe ndumbwe.
  3. W

    Guys here is the best divorce letter

    ha ha ha, ningekuwa ni mimi ningerudi kuomba msamaha.
  4. W

    Unaikumbuka hii???

    I used to hate Things fall apart, kiinglish kilikuwa hakipandi, nilikuwa naona mwalimu ananipigia makelele tu, I was looking forward na somo la kiswahili, ngoswe penzi kitovu cha uzembe na hadithi za magazeti ya sani(enzi hizo yanatoka kwa mwezi mara moja kama sikosei).
  5. W

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Huwezi kujikimbia, ukabila ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo, there is no harm to talk about it, as long as hauvunji sheria. kabila lako, ukoo wako haubadiliki we kama ni mmakonde ujue utakufa mmakonde, kama umezaliwa kwenye ukoo wa kimario(utakufa kama kimario) angalau dini na utaifa unaweza...
Back
Top Bottom