Search results

  1. sili

    Msaada wa ku trade iphone x

    Mkuu upo sahihi kabisa na hivi viduka vingi vya online especially IG wanauza simu ambazo ni refurbished.
  2. sili

    Ungekuwa ni wewe ungechukua uamuzi gani?

    Mmmh! Hii story huu uandishi hauakisi hualisia wowote!
  3. sili

    Je, ile project ya pale Tazara ni fly over(barabara za juu) ama ni daraja?

    Hivi uliishawai ona wapi duniani daraja linajengwa kwa mfumo ule, you can't be serious aisee.
  4. sili

    Pata simu zifuatazo kwa mikopo kwa masharti nafuu

    Wewe mleta uzi ndyo siyo muelewa kabisa, haupo serious na biashara, ili swali dogo tu la kuelekeza ofisi ilipo hapo Mwanza unalikwepa, unafikiri unajenga hisia gani kwa wateja? We are smart than you jaribu njia nyingine ya uatpeli hii umekwama.
  5. sili

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Dah! Inauma sana ila hatuna budi kukubaliana na ukweli, tujipange vizuri tuu kukabiliana na changamoto zilizopo mbele yetu.
  6. sili

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Kabisa mkuu well saidi, uwoga wake tuu ! Hizi machine zipo vizuri kabisa.
  7. sili

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Sorry mkuu nimerekebisha reply yangu nilikuwa namaanisha saa 9 ya alfajiri samahani sana.
  8. sili

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Sorry mkuu nilisahau ni saa 9 ya alfajiri.
  9. sili

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Matano madogo sana mkuu hata dodoma hufiki! Approximately nilitumia kama masaa 16 hivii mpaka kufika Mwanza.
  10. sili

    Style mpya ya harusi: Mualikwa kufika ukumbini na pesa ya chakula na vinywaji

    Unaweza kuwatengea bajeti hao ndugu wachache cause am sure hawatokuwa wengi sana cause hutotaka kutumia gharama kubwa.
  11. sili

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Mimi nilisafiri na Passo Piston3 kutoka Dar mpaka Mwanza nilitoka Dar saa 9 kama na nusu nikaingia Mwanza saa 2 usiku wala sikupata tatizo lolote njiani wala sikupigwa Tochi ilikuwa mwaka jana mwezi wa 10 na niliendesha mwenyewe muda wote wa safari.
  12. sili

    Nauza IPhone 8 {256 GB}.

    Weka details zote za simu pamoja na bei na namna ya kuipata kama upo serious unauza hiyo simu ili kila mtu aweze kuona, inbobo kufanya nini? kuna nini unaficha kuhusu hiyo simu mkuu.
  13. sili

    Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu akiendelea kufanya mazoezi akiwa hospital nchini Ubelgiji

    Kabembee na wewe basi, watu wengine sijui huwa mnafikiria kwa kutumia masabuli.
  14. sili

    Wanawake sio watu wazuri

    Yeye ndyo anakuwa baba wa familia lazima cha moto ukionee.
  15. sili

    Samsung galaxy note 4 with hardware issues

    Note 4 mint condition used iliyonyooka unapata kwa 300k halafu wewe unakuja kutuambia hiyo Housing unauza 250k? Hivi upo serious kweli mkuu.Simu ni kioo mkuu.
  16. sili

    Samsung galaxy note 4 with hardware issues

    Taja bei mkuu wengine tunaweza kuunga unga tukapata display used.
Back
Top Bottom