Search results

  1. K

    Mh. Zito rudi Kundini!

    vp kwani? just my opinion!!! kwan we waonaje?
  2. K

    Mh. Zito rudi Kundini!

    Napata shaka.."ila kinyume ni sahihi:"
  3. K

    Mh. Zito rudi Kundini!

    Bado tunaendelea kusisitiza Zito arudi kundini. Ni ukweli kwamba Zito ananafasi kubwa sana katika siasa za nchi hii ila bado bado kuna sintofahamu ya ukweli kwamba Zito yupo wapi Katika hili gurudumu la mabadiliko ( ccm, ccm B, CDM, CDM B……nk) nikiwa kama mdau wa mabadiliko na Kijana ambaye...
  4. K

    Je umewahi kufikiri unanufaika vipi na Gasi asilia ya Mnazi bay- Mtwara!!

    Wasaalam Wana jamii!! Jamani labda mi si elewi naomba kupata ufafanuzi kwa wanajamii forums, Katika pita pita zangu kwenye mtandao nimefanikiwa kuona taarifa ya upembuzi yakinifu ya mradi wa upanuzi wa bomba la gesi kutoka Mnazi bay – Lindi kwenda Tanga na Mombasa/Kenya, nikiwa nafuatilia zaidi...
  5. K

    Kiwanja kinauzwa - moshi manispaa

    KIWANJA KINAUZWA KIPO OPOSITI NA BARABARA KUU YA MOSHI ARUSHA KM6 KUTOKA KEEPLEFL YA ARUSHA UKUBWA (23MX18M) KINA JENGO LA ROOM 4 AMBALO HALIJAKAMILIKA LIPO KWENYE LENTA KIPO OPOSITI NA BARABARA KUU NICHABIASHARA ILA KWA KUISHI PIA INATEGEMEA NA WEWE HATI IPO BEI NI Tsh 30,000,000/=...
  6. K

    Kiwanja kinauzwa - moshi manispaa

    KIWANJA KINAUZWA KIPO OPOSITI NA BARABARA KUU YA MOSHI ARUSHA KM6 KUTOKA KEEPLEFL YA ARUSHA UKUBWA (23MX18M) KINA JENGO LA ROOM 4 AMBALO HALIJAKAMILIKA LIPO KWENYE LENTA KIPO OPOSITI NA BARABARA KUU NICHABIASHARA ILA KWA KUISHI PIA INATEGEMEA NA WEWE HATI IPO BEI NI Tsh 30,000,000/=...
  7. K

    Kiwanja Kinauzwa - Moshi Manispa

    Maeneo ya Kibosho road hati ipo- unakaribishwa
  8. K

    Kiwanja Kinauzwa - Moshi Manispa

    Tsh 30,000,000/= unakaribishwa size 20x22m
  9. K

    Kiwanja Kinauzwa - Moshi Manispa

    Kiwanja kinauzwa kipo pembezoni mwa Barabara kuu ya Moshi - Arusha, kinanyumba ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kinafaa kwa shughuli za biashara na makazi kwa mawasiliano piga 0783-740777 au 0712022399
  10. K

    Keki yenye rangi ya CCM yakataliwa!

    Siyo yeye tu hata mimi nna alergy na hizo rangi!!!
  11. K

    CCM katika hali mbaya Arusha; kigogo mwingine (Bananga) atimkia CHADEMA

    i like this"Hatuwezi kuukwaza utu na faraja ya Mwanadamu kwa kufurahisha nafsi za watu wachache"
  12. K

    I am in the house

    Karibu.. je wahitaji msaada wa aina gani?
  13. K

    Kweli CHADEMA wanapendwa hivi au Macho yangu!?

    aisee nimeipendajeee...
  14. K

    Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

    sura yako na msg zako zinalandana!!!!
  15. K

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Mtei ni mwasisi wa CDM lakini si msemaji wa CDM.
  16. K

    Hodi hodi uwanjani

    Ujumbe mzuri!!
  17. K

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Hongera saana kwa kazi ya ukombozi!! CDM pamoja daima!!!
Back
Top Bottom