Kama unaweza kubaki nae TZ ni vizuri zaidi ,si nchi nzuri kwa wageni hasa kupata kazi,maisha yao yako chini huenda hata Tz tuna nafuumpia
unaweza kunyanyasika ukawa mtumwa kwenye nchi ya mbali
Kaka kemea pepo la tamaa la ngono linakunyemelea.mpende mkeo kama ndio siku za mwanzo za ndoa yenu,mjali,mtoe out ,mfundishe mapenzi kama unaona kuna mapungufu,mrekebishe kwa upole anapokosea.sidhani kama unampenda kwa dhati mkeo utamwazia mwanamke mwingine.
My learned brothers and sisters,mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimetafuta kazi bila mafanikio,yeyote mwenye kuweza anisaidie nipate japo nafasi ya kazi ya kujitolea ili nipate experience
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.