Search results

  1. Babdeel

    Hotuba ya Karume ndiyo thabiti zaidi na yenye manufaa kwa CCM ya leo na kesho!

    http://blip.tv/play/AYOI8AgC.html?p=1 bofya hiyo link.
  2. Babdeel

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Kweli ni upepo tu lakini wa safari hii mkali kidogo maana majani yameanza kupukutika,hofu yangu huo mwingine usijeukang'oa mizizi tu.
  3. Babdeel

    Kijana na Mama yake Mzazi

    :shetani:free world:shetani:
  4. Babdeel

    Majibu ya Dr Slaa kwa Sitta ni haya hapa

    Hii siasa au mipasho:coffee: :coffee:
  5. Babdeel

    Msaada wa sheria kuhusu tanesco

    Habar zenu waungwana. Nina mambo machache ambayo yananitatiza kuhusu hawa wakaguz wa *TANESCO wanaopita majumbani mwetu.* 1)Je Wanayo haki ya kuingia ndan ya nyumba yako bila ya ruhusa yako au kupitia kwa mjumbe/mwenyekit wa mtaa?? 2)Wakikagua mita yako na wakakwambia kuwa mita imechezewa je...
  6. Babdeel

    DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

    HUSSEIN MWINYI 2015 via CCM
  7. Babdeel

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mtazamo wangu. CCM wakimpitisha EL kugombea uraisi 2015,..kiti cha uraisi kitachuliwa na upinzani kwa asilimia nyingi tu. EL ni mchapakazi kweli lakin ni wachache wanaolijua hilo katika population ya watu wasiopungua milion 40. EL kwa raia wa kawaida ni faisadi tu kwa namna walivyoaminishwa...
  8. Babdeel

    Makanisa yachomwa moto Zanzibar

    Kumbe ugaidi ni kuchoma makanisa!!! Okay.
  9. Babdeel

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Huyo mkuu wa kaya mwacheni hapohapo,..angalau weye shein,maalim na gharib kasalini ijumaaa yakhee.,haifai namna hiyo.
  10. Babdeel

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Naona hapo mama salma anaimba wimbo wa taifa huku anatingisha tingisha mabega.,sijui kadhan taarab. Huyu mkuu wa kaya ndo swaga zote anazimaliza kwa kugeukageuka anataman apungie watu mikono hku wimbo unaendelea.
  11. Babdeel

    Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Sio ndogoo
  12. Babdeel

    Watu wengine bana!

    Duuuuh
  13. Babdeel

    Tofautisha

    Tobo hutobolewa pakawa tobo,tundu linakuwepo lenyewe.
Back
Top Bottom