Search results

  1. mwenyenchi

    Wabunge, kipato cha zaidi ya milioni 10 kwa mwezi kinahitaji kujituma badala ya mizaha

    Hili Bunge rubber stamp la Ndiooooooooo... lifutwe tu, halina maana kwani badala ya kuisimamia serikali sasa linasimamiwa na serikali
  2. mwenyenchi

    Upinzani waonesha wizi wa Tsh Trilioni 2.4 toka ripoti ya CAG na ulaghai wa kamati ya PAC iliyopangwa na Ndugai kuficha ukweli

    Nimewahi siti na leo Nadhani ndio zinazotumiwa kununua vifaa vya kubebea mbuzi
  3. mwenyenchi

    Kulikuwa na sababu gani Mhe Mbowe hakuwa makini na kupelekea kutoa mwanya wa kufutiwa dhamana?!

    Duh! Nimewahi siti leo :p Hana sababu yoyote zaidi ya mazoea (BAU) ambayo huzaa uzembe
  4. mwenyenchi

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    1. ACHANA NA HUYO MWANAMKE 2. ACHANA NA HUYO MWANAMKE 3. ACHANA NA HUYO MWANAMKE
  5. mwenyenchi

    Yuko wapi Lowassa?

    :D:D:D
  6. mwenyenchi

    NGUZO ZA ZINAZOMJENGA MWANAUME

    11. Ndevu na/au sharubu Mwanaume hutakiwi kuwa na shavu lainilaini 12. Sugu mikononi Mwanaume hutakiwi kuwa na mikono lainilaini inayoteleza kwa lotion 13. Magaga/sagamba Mwanaume rijali lazima umiliki japo gaga/sagamba moja kwenye kisigino cha kila mguu NB Haiwahusu wanaume wa Dar
  7. mwenyenchi

    Amekua mtu wa kununa nuna muda wote

    Na wewe nuna Kama ana sababu ya msingi alitakiwa aseme sio kununa Ukimbembeleza atakuwa akikununia kila siku
  8. mwenyenchi

    Kumlinganisha Odinga na Lowassa si sawa, Naweka kumbukumbu sahihi

    Ahsante kwa taarifa iliyoshiba
  9. mwenyenchi

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    TB Joshua ni "msanii" Nabii wa "mabua" Ule utabiri wake wa matokeo ya uchaguzi US alitetea vipi?
  10. mwenyenchi

    Umaarufu wa Lowassa umeshuka kwa kutoshiriki harambee!

    After all hela aliyokuwa anagawa ni ya kwetu aliyotuibia na Mkwere na Rostiham
Back
Top Bottom