Search results

  1. J

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    Tatizo kubwa watu hawataki kama fundi anakueleza ukweli,na kuwapenda mafundi waongo ndio wanapendwa sana
  2. J

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    kaka mbona tupo jamani
  3. J

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    karibuni sana kwa servies nzuri na ukweli
  4. J

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    kaka habari, ,pole sana,kaka nipigie 0755399613,tatizo lako litakwisha kabisa
  5. J

    Mitsubish Pajero GDI IO 1.8 5 Doors

    Habari za sikuu nyingi wanajamii ,nimekuwa kimya muda mrefu sana,napenda kutoa shukrani zangu zote ziwafikie wanajamii kwa kupokea ushauri wangu pale walipo uliza kuhusu matatizo ya gari aina ya mitsubishi pajero io or GDI, Tunaendelea kutengeneza gari hizo bila tatizo,na gari aina zingine kwa...
  6. J

    Mitsubish GDI

    Please dont worry ,gdi is very nice but more of mechanic/technician are not aware of that.i worked at tabata relini ,and i have scanning tool for diagnosis.mobile number 0755399613,0715399613.best regards.gharish john.
  7. J

    Mitsubish Pajero GDI IO 1.8 5 Doors

    Tafadhali usipate shida gdi zinatengenezeka vizuri sana na spare zake zipo bila matatizo.tuko tabata round about kuelekea st marry mwanzoni round about kulia gate la jekundu.tunatumia scan tool kwa diagnosis.mawasiliano yangu .0755399613,0715399613.tunaweka spare sahihi za gari.pia angalizo gari...
  8. J

    Mwenye uzoefu na Mitsubishi Pajero IO GDI

    usiogope hawazijui hizo gari.ni gari nzuri sana, ila zina mashariti yake..Unatakiwa uweke mafuta unleaded fuel tank,uweke plugs zake kama zake zimechoka,usimwage oil ya gearbox ukaweka ya elfu tano sio sahihi..sikuwa na eneo la kufungua gaurage,ila kwa sasa nimepata eneo ninaweza kuwahudumia...
  9. J

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    wapendwa poleni sana na matatizo ya gari aina ya pajero io,chariot grands,dion,diamante,outlander,Airtreck na zote jamii hizo.Wanazita GDI maana yake Gasoline direct injection.Tatizo kubwa la mafundi huwa hawajui mfumo wa hizo gari ndio maana zinawapatia taabu sana.pia hizo gari hazitaki mafuta...
  10. J

    D4 and GDI PUMP

    Please check this phone number 0755399613,0715399613.Ziko pump 2 tu,moja supply pump inatoka kwenye tank,na nyingine high pressure pump .
  11. J

    JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

    Hello,kama uko dar please wasiliana kwa namba hii 0755399613,0715399613.usipende kupeleka gari yako kwa mafundi wasio na diagnostic tool utaua gari yako.pia mafundi wengi wanapata shida kwasababu hawana ujuzi wa kisasa,
  12. J

    Mitsubishi Pajero iO (GDI)

    Hello wana jamii forum napenda kuwapongeza katika michango yenu baadhi ya magari kiufundi na ubora magari.tupo tayari kiushauri pia na kikazi.<br>Kwa mawasiliano piga nambari hii 0715-399613,0755-399613.AHSANTENI.<br><br>
  13. J

    Mitsubishi Pajero iO (GDI)

    Hello,ukweli pajero io ni bomba sana.ila mafundi wengi hawajui jinsi gani mfumo unafanya kazi.kosa kubwa watu wengi wanafanya ni kutembelea taa ya mafuta inawaka ni kosa lajinai kwa pajero io.kama utahijai ushauri wa kiufundi.piga simu ,0755399613,0715399613.niko dar es salaam.pia spare...
Back
Top Bottom