Search results

  1. M

    Nimvumilie mume huyu au nimuache?

    Kwa hali hiyo ningeshaondoka kabla hata sijaomba ushauri...........your too young to suffer mamie leave the place immediately enjoy ur life...life is too short
  2. M

    Nimeamua nitafute mtoto kwanza

    Ni uamuzi mzuri pia ...all the best..tym will tell utampata wa ubani while a baby tayari
  3. M

    Najua sio wote wabaya lakini nawachukia wanaume!

    Pole mamie.....ndio wanaume hao lol siwapendi hata kidogo
  4. M

    Soma halafu utoe mchango wako

    duh...huyo dada ni hapana jaman ana moyo wa chuma sio nyama had mwanae anamkana!!
  5. M

    X anataka kurudi...

    Kuwa mpole tu kijana uone mambo yatakavyoenda siunajua penzi alilazimishwi...so kama anakupenda atabaki kwako kama atarudi kwa x wake ujue anampenda yule...patience pays
  6. M

    baada ya tunda la siku moja, kajikata, karudi baada ya 2 months stori kibao anataka msamaha

    Achana nae huyo ataku-do tena halafu atapotea tena this tym for a year........
  7. M

    Kamwe usikumbuke matatizo ya zamani!

    Eti eeeeeeeeeeh!! ntafanya hivyo kwa kweli from today nasonga mbele tu yaliyopita siyawazi tena....
  8. M

    Open letter to all the men I loved before

    Bravo girl baelezeee baelezeeee haoooo.....
  9. M

    Wapi Shukrani Zangu Ziende?

    Mpe tu huyo housegal wako mana umemsifia sana lol.....
  10. M

    kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

    Usifanye hivyo mpendwa lazima Mungu kakuandalia wa kwako Is the matter of time tu am telling you Am experiencing the same situation but sijakata tamaa najua ntampata wa kwangu kutoka kwa Mungu
  11. M

    Whatever situation your in! dont give up

    Ameeen....is true to God everything is possible, we just have to keep on praying and to have faith on him
  12. M

    Mabinti tabia hii imekaaje?

    Huu ni msemo wa mwaka! No money no honey, sio? Ndio kilichobakia hcho mwali n they have to keep in their minds .......
  13. M

    Mabinti tabia hii imekaaje?

    No money no honey....
  14. M

    Naomba mnipokee

    Habarini wana jamvi...nawapenda sana ndo mana nimeamua kuwajoin... Please naomba mnipokeee!!
Back
Top Bottom