Search results

  1. M

    Nafasi za Kazi 1/1/2012

    Mkuu ahsante sana, hii ni zawadi kweli, acha tuchangamke. Hv nikiomba kazi 2 zinazo relate mfano Finance manager na Accountant inaweza kukubalika? au zote zitapigwa chini? Assumption ni kwamba nipo full qualified :shock:
  2. M

    kuitwa usaili TRA

    Mkubwa ahsante sana kwa taarifa mm pia niliomba zile nafasi lakini wamenikaushia, au mambo ya kichaga bado yapo? Nchi kweli imeuzwa hii.
Back
Top Bottom