Search results

  1. Vituka

    Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

    Anyway serious buyers watanitafuta.
  2. Vituka

    Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

    Acha makasiriko, kama kweli uko serious njoo PM.
  3. Vituka

    Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

    Aliye serious atanifuata PM. Relax 😁
  4. Vituka

    Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    Hata vimada/michepuko yao ilipwe pia. Hii itasaidia sana kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja.
  5. Vituka

    Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

    Eneo lipo karibu na hii barabara. Kwa aliye serious anifate DM. Asante.
  6. Vituka

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Wizara ya ardhi Dodoma inachukua maeneo ya wananchi na kuwadanganya kuwa serikali inafanya miradi ya mashamba darasa lakini kumbe ni uongo. Wanachukua ardhi wanapima halafu wanapewa viongozi. Cha kusukitisha zaidi fidia wanayotoa ni ndogo sana sana. Wananchi wamedhulumiwa maeneo yao wakijua...
  7. Vituka

    Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  8. Vituka

    Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

    Maisha ni mafupi sana ndugu yangu. Nakushauri achana na revenge ya kuwaumiza. The best revenge ni KUKAA KIMYA, PRETEND KAMA HAKUNA WALICHOKUFANYA. Inataka moyo wa jiwe sio rahisi
  9. Vituka

    Ndugu yangu wa damu hana uaminifu kwenye pesa, amenidhulumu mara kadhaa

    Dah hivi unaanzaje mukpa kaka yako hela akushikie? We ni mtoto sana kiasi kwamba ukikaa nazo utanunua chips? Usimplaumu kaka yao, wewe ndo umefeli hapo. Ushalizwa lakini bado unampa pesa yako hahaha. Hebu simama mwenyewe kama mwanaume achana na kumshirikisha huyo kaka ako
  10. Vituka

    USHAURI: Usichukulie vitu serious sana, take easy and enjoy life

    Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku. Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu...
  11. Vituka

    Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Mh eti utafiti binafsi :p:p Skia brother, ukiona wanawake wote unaokutana nao sio wife material basi ni dhahiri kuwa hata wewe sio husband material teh. Wenzio ambao ni ma- husband ,material mbona wanakutana na ma wife material na wanafunga ndoa kila kukicha? Jitathmini upyaaa🤣🤣
  12. Vituka

    Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Ndoa nyingi ambazo hazina watoto huwa hazidumu. Mungu ampe kila mwanamke uzao wa tumbo lake.
  13. Vituka

    Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

    Pole kwa kumpoteza mume jamani ila nadhani hutorudia tena huo mchezo. Binafsi siigusi simu ya mume wangu kwa sababu kubwa 3; 1. Nina moyo mdogo kama nukta, naogopa untimely death. 2. Sitaki talaka kabisaaa maana nina watoto na kipato changu hakikidhi kuwalea wanangu, I need my husband katika...
  14. Vituka

    Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

    Hata mi namshauri tu arudi mjini aangalie familia yake. haya mambo yamekuwa mengi sana wala asishangae.
  15. Vituka

    Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Pole sana ila ni bora alaivyokueleza ukweli kuliko angeendelea kukudanganya. Lipokee, take it easy and move on!!!!
  16. Vituka

    Nimemtimua rasmi Mwanamke kwa kuniambia "Upo Nyonyo"

    Kaka weye wa kure kwetu Msoma nini 🤣 Nimekupatia picha unamtimua dada wa watu huku unamsimanga kwa ile lafudhi ya Musoma hahahahahaha
  17. Vituka

    Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    We wa wapii? Kuna watu hamjui mapenzi nyie hahahahaaaa!! Hapo wala usingeshangaa, ungeanza kula chakula chako bila hata kunawa mikono🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  18. Vituka

    Dada yako unayempenda sana anataka aolewe na jamaa ambaye una bifu naye la 2-Pac na Big

    Mtoto wa kume unakuwaje na bifu na mtu? Halafu kwani wewe ndo unatoa ruhusa ya dada kuolewa au kutokuolewa?
Back
Top Bottom