Search results

  1. F

    Hatujathubutu, hatujaweza, hatusongi mbele!

    hakunaa! Labda kwenye familia yake lakini i doubt. Maana anachosema na kinachotokea always ni opposite
  2. F

    Hatujathubutu, hatujaweza, hatusongi mbele!

    sasa unashangaa nini? Unacheza na hii gvt. Waongo kichiz! Unaweza kudanganywa ukishtuka usiwe na la kufanya ubaki unacheka tu. Usanii mtupu kuanzia bosi wao mpaka mamessengers.
  3. F

    Kutoka Arusha: Mbowe ajibu tuhuma za ZITTO

    mbona hakuna cha ajabu, au kumhoji mbowe imekuwa ajabu nowdays? Huyo mwandishi sio wa ukweli wala nini namuona miyeyusho tu.
  4. F

    Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

    Michosho tu. Hiyo kazi waifanye akina rostam na lowasa na wenzao ambao ni watanzania daraja la kwanza. Situmii cm yangu kwa ajili ya upuuzi.
Back
Top Bottom