Search results

  1. Mbassa

    Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Na wewe ni mwanasoka, ndo maana unaiongelea hapa, onesha mfano basi.
  2. Mbassa

    Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Wewe pia ni mwanasoka, hebu weka hapa salary slip Yako, uoneshe huo uwazi Kwa mifano halisi.🤦🏾🤦🏾
  3. Mbassa

    Wana Simba tuko nyuma yako Mo Dewji, tunaunga mkono maamuzi yoyote magumu ndani ya bodi

    Acha wivu, hata akitolewa hupewi wewe...
  4. Mbassa

    SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

    Mo aliahaidi kuwa atatoa 2b, hakusema atatoa lini, au atatoa yote, au kidogokidogo, hakuna mahali popote alisema ametoa.. elewa kilichosemwa!
  5. Mbassa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hayo maeneo yana mchanga mwingi wa bahari. So hiyo si kuparara ni mchanga wa bahari!
  6. Mbassa

    CAF Ranking mpyaaaa, Simba Sc kama kawaida

    Jamani sisi UTOO tuko nafasi ya ngapi
  7. Mbassa

    Hivi Simba mbona kila kitu kinanaenda taratibu sana, kuna uzembe sehemu gani?

    Acha wivu na majungu. tafuta pesa !
  8. Mbassa

    Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

    Acheni wivu, wewe unajua mkataba wake na Simba ukoje? Umeambiwa asitangaze bidhaa zozote za Azam? Mnapenda Sana kuingilia maisha binafsi ya watu. Yeye anatengeneza pesa nyie mnakaa kupiga majungu.... Wewe kazi yako Kama shabiki no kushangilia na kuzomea Basi, Mambo binafsi ya watu achana nayo...
  9. Mbassa

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Kama nawaona vile mnavyohaha kuhamisha magoli, baada ya majina yenu mliojipa wenyewe kutrend, utopolo FC, mabonde Kuinama, mlenda United, Mkunungu sports club, gingowazi, vyura, dah mengine mtaongezea wenyewe..
  10. Mbassa

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Vipi tetesi za usajili kwa Chama langu, mabingwa wa nchi zikoje? Nawaona Utopolo FC wanahaha kusajili mapema mapema..
  11. Mbassa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Manyoya si ya kuku tu hata Bata anayo
  12. Mbassa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Lenie hawezi pewa ushindi wa mezani
  13. Mbassa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    mwenye link please!!
  14. Mbassa

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Shukrani nimeenjoy game
  15. Mbassa

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Uliipata nijulishe mkuu
  16. Mbassa

    Butiku: Tanzania sio mali ya vyama vya siasa, tufuate katiba na sheria

    Maneno kuntu, mi sina la kuongeza
  17. Mbassa

    Thieves escape with holy wine, bread from SDA church

    Acha uongo wewe, Ni wasabato Wa wapi wasiomkubali Roho Mtakatifu.. Na ni wapi wamepinga karama za Roho.. Hujui usemalo.. Kama hawaneni kwa lugha Ina maana wao ni mabubu. Labda kama hujui nini maana ya lugha
  18. Mbassa

    Membe: Rostam wewe ni mwenzetu umekatwa mkia, ukishakatwa mkia hata ujitahidije mkia wako ni mfupi tu...

    Hawa jamaa, lao ni moja bana, wanachokifanya kwa sasa ni kuyumbisha dishi la mkuu ili asielewe picha linavochezwa, wamejipanga vilivyo!
Back
Top Bottom