Search results

  1. A

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    vijana wengi mmesoma elimu isiyokidhi wala Biblia hamjasoma ipasavyo. zamani Daudi alikuwa mfalme, nabii na mkuu wa nchi n.k. siasa chanzo chake ni Biblia, wanasiasa wamechukua baadhi wameacha mengi ya adili ndio maana kila jambo halifanyiki kikamilifu. mm nilidhani kama vijana umoja na...
  2. A

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    usipotoshe watu, utawaua bure, hivi kwanini wachina ambao wanatengenezza dawa hizo wao hawatumii wakati hawana makalio wala matiti wala uume mkubwa. hiyo ni ishara kuwa dawa hizo sio salama kwa watu wetu
  3. A

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    nakubaliana nawe katika miradi ya ujenzi wa majengo ya umma ufisadi ulikithiri. hao wasamehewe hawajui walichokiongea. bila nguvu ya jpm hapa hata bilioni 100 zingeliwa, ndo hao walikuwa wanaharibu watoto wetu acha waisome namba, heko jpm
  4. A

    Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

    hakuna MTU mwenye akili kuliko mwingine, tafiti hizo zinalenga kuwakatisha tamaa waafrika!!! mbona walipokuja tulikuwa na maendeleo sawa, kwann walianza na kuua viwanda vyetu?. kinachotuponza Africa ni kuchagua mafisadi, ndio wengi wanaowazunguka hata viongozi kwenye nia Wa kuwaletea wananchi...
  5. A

    Lissu juu ya kauli ya Rais kwenye sherehe za Siku ya Sheria

    naomba tu kuuliza... hivi kama lowasa ni fisadi, ametoka CCM akiwa fisadi, hata Leo yuko upinzani ni fisadi, kwanini hakamatwi na kufunguliwa mashitaka na vyombo vya dola/serikali? je vinamwogopa? je lowasa ni Bosi Wa serikali? je lowasa anayetajwa ni huyu tumjuaye au ni serikali? Mimi sina...
  6. A

    Kakobe usipotoshe, Tanganyika si urithi kutoka kwa Mungu

    mbona suala hili alikanusha ktk vyombo vya habari hata akawapa changamoto waandishi Wa habari kuwa mwenye video hiyo aitoe hadharani. kijana acha uvivu Wa kusikiliza na kutafuta habari tafuta somo liitwalo mkristo na uchaguzi
  7. A

    Kakobe usipotoshe, Tanganyika si urithi kutoka kwa Mungu

    Tatizo kijana umeweka ushabiki Wa chama chako tu basi ndio umeshindwa kuchambua kwa Uhuru mada yako. pili ungetumia busara kidogo ungejiuliza kwann kila binadamu ana jina lake na viungo vyake hachangii na MTU? ungejiuliza kwann binadamu anaheshimu na kutambua nyumba na umiliki wake? vilevile...
  8. A

    Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

    tusubiri wakifungua kesi maana ushahidi inaonekana upo mzuri tu
  9. A

    Zilizovuja: Serikali ilifungua akaunti mpya ya siri ya Escrow yenye harufu ya kifisadi

    Mhe. Rais amesema hakuna jibu litakalobaki bila kutumbuliwa kwann MNA Mashaka. tumpe muda na tuendelee kumshauri ili azidi kuyatumbua. naye hana utani kabisa maana akishalijua anajiridjlhisha na kulitumbua
  10. A

    Zilizovuja: Serikali ilifungua akaunti mpya ya siri ya Escrow yenye harufu ya kifisadi

    Mhe. Rais amesema hakuna jibu litakalobaki bila kutumbuliwa kwann MNA Mashaka. tumpe muda na tuendelee kumshauri ili azidi kuyatumbua. naye hana utani kabisa maana akishalijua anajiridjlhisha na kulitumbua
  11. A

    Wakati Marekani kupitia MCC, China wajipanga kuwekeza kwenye Sekta ya Nishati nchini

    si busara kama nchi kutegemea misaada kanuni ni kuwa MTU anayetoa ndiye anabarikiwa zaidi kuliko anayepokea. hivyo ni bora nchi ijikite ktk kuendesha serikali kwa vyanzo vyake. tujifunze kwao kesho tuwekeze ktk maisha yetu na nchi yetu bila msada wao
  12. A

    Balozi Karume: ‘CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar’

    ccm ni baba sasa watoto mnataka kumtoa baba hvhv tu. mtoto ukikua unahama home
  13. A

    Nikiwa na msichana namkinai, hivi nina pepo au ni tamaa tu?

    acha uasherati! /zinaa hazitakusaidia. oa tulia jenga familia bora siku hazigandi. bora uoe anayekupenda kuliko kinyume chake
  14. A

    Ukweli kuhusu mke wa Rais wa Marekani

    angekuwa mwanaume aliyejibadili asingeshika mimba hivo mleta mada acha siasa za maji taka maana tumetoka huko
  15. A

    Bilionea fisadi wa Tegeta Escrow, Rugemalila awa mfadhili mkuu wa CHADEMA

    kama ni fisadi naamini ni jibu linalotakiwa kutumbuliwa kwann hajashitakiwa na kufungwa kama akina mramba etc kama tumeshindwa kumshitaki na kumfunga huyo kikatiba sio fisadi bali ni mtu safi anayestahili kuheshimika na kila mtu usiwe unakurupuka kuleta mada bila utafiki no research no...
  16. A

    CHADEMA bila Dr. Slaa haina dira wala hamasa (CHADEMA without Slaa lacks vision and enthusiasm)

    kipindi cha awali tuliaminishwa kuwa dk ni babu awaachie vijana siasa akalee wajukuu ...leo kawa shujaa mmh sijui
  17. A

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    hakuna kuunda tume hapa kazi tu kila fisadi apate haki yake
Back
Top Bottom