Search results

  1. Y

    Mtu wa kuuza duka anahitajika

    Tuko Dar wilaya ya kinondoni kata ya Kibamba
  2. Y

    Mtu wa kuuza duka anahitajika

    Anahitajika msichana Wa kuuza duka. Umri miaka 18-25. Duka liko Kiluvya. Mshahara maelewano. Simu 0714881606
  3. Y

    Nauza simu aina ya Gowin

    Bei gani unauza?
  4. Y

    Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

    Nilisoma pale 1963-1966. Namkumbuka sana Father Gotard, mwalimu Mahai, mwanafunzi mwenzangu kalubandike. Tulikuwa tunaiba sana mihogo ya bruda Lukundus.
  5. Y

    Transfer of cruide oil sales license in South Africa

    Habari za leo wan JF. Nawaombeni msaada wenu. Mtu toka S.Africa ameniandikia kunipa ofa ya kurithi leseni ya marahemu David Rusell aliyefariki kwa ajali. Baada ya mawasiliano marefu amenitumia email hapa chini ikitaka niende South Africa tukasaini mkataba ili leseni ya biashara iwe yangu...
  6. Y

    Kigogo wa TFA miaka nenda rudi Elias Mshiu Afukuzwa kazi.

    Nani amechukua nafasi yake? Mimi naitaka hiyo kazi.
  7. Y

    Kigogo wa TFA miaka nenda rudi Elias Mshiu Afukuzwa kazi.

    Nani amechukua nafasi yake? Mtu mmoja anaitwa Mawenya?
  8. Y

    Eti kujuana ni zaidi ya vyeti vyako na hela zako

    Unasemaje Kende! Lazima nimjue mtu ndio kazi ipatikane? Mimi mtoto wangu anamaliza kozi ya miezi 3 ya food production pale VETA je ni lazima nimjue mtu ili apate kazi hotelini, kwenye mikahawa n.k. Mbona sikuelewi. Cheti chake hakiwezi kumpatia kazi?
  9. Y

    Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

    Kwa kweli wanaudhi. Jana tu saa 11 jioni nilinunua LUKU kupitia m-pesa. Sms kunijulisha nimefanikiwa imekuja saa 3 usiku! Imagine. Muda wote tunasubiri tuko gizani. Jirani yangu aliishiwa luku saa 2 usiku. Ndani ya dakika 5 akawa amenunua umeme kupitia Tigopesa. Nimekoma. Sitathubutu tena...
  10. Y

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Tafadhali nisaidie hii k24 inapatikana frequency zipi?
  11. Y

    Nahitaji msaada nikiwa Korogwe

    Nitakuwa maeneo ya mjini karibu na sunrise
  12. Y

    Nahitaji msaada nikiwa Korogwe

    Nitakuwa Korogwe kwa siku kadha. Nisaidieni sehemu gani nitembelee ili nipate totos.
  13. Y

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Endelea kutuletea updates pamoja na picha please.
  14. Y

    Lodge bei nafuu Korogwe

    Asante sana ndugu yangu. Sasa naanza kujiamini.
  15. Y

    Lodge bei nafuu Korogwe

    Naomba msaada. Nitakaa korogwe kikazi kwa muda wa mwezi 1 hivi. Budget yangu ya guest house ni sh 15000-20000. Kwa mnaoifahamu Korogwe niwaombe msaada wenu. Ipi ni lodge nzuri kwa budget hii niliyopewa. Kwa sasa niko Newala. Mungu awabariki.
  16. Y

    Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

    Jamani niko serious. Nitakaa mwezi mzima tanga. Bwana jerrymsigwa nifanyaje nisiopoe jini?
  17. Y

    Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

    Bwana Babu Kizee nipe hiyo namba. Unajua nitakuwa Tanga karibu mwezi 1. Nimeshindwa kuku P
  18. Y

    Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

    Yote mawili. Is that possible my dear Babu Kizee?
  19. Y

    Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

    As a last resort, Yes my dear.
Back
Top Bottom