Search results

  1. S

    Shaidi muhimu kesi ya Zombe mahututi

    Hapo kuna nini??hakuna zengwe kweli hapo?namuombea apone haraka.....pole sana lema..kwenye ukweli na haki ipo pia!!!
  2. S

    Rehema Mwakangale hayupo nasi

    RIP Rehema......kapumzike salama.bwana alitoa na ametwaa jina lake lihidiwe.
  3. S

    Dowans: Another Richmond in making?

    Hahah ni maajabu na kweli nani watamlipa hizo pesa??kama mmiliki hajulikani??nani anawatia pressure kali hiyo??ila RA ni kiboko jamani tutake tusitake jamaa anatisha.....hata JK hageuzi kabisa na kisirani chake chote ameshikwa pajaya na RA...
  4. S

    UFISADI wa ZADOCK na ofisi ya Meya KIMBISA

    Nami naunga mkono huu ni uhuni kabisa zile sio taa za barabara kubwa jamani...hazina nguvu na hy alminium inachekesha zile zafaa kwenye fensi ya nyumba za watu campus na etc si barabarani.
  5. S

    Wabunge wa Kigoma wana Matatizo gani?!

    Wana inferiority complex so wanakomaa na issue moja ili iwatoe.wamesahau yaliyowapeleka bungeni ...
  6. S

    Natafuta kazi ya bank teller

    Sidhani kwa ushindani huu kama unaweza pata hiyo kazi unayotaka maana najua sikuhizi wanachukua adv dip tena za banking....nakushauri uende shule kwanza.....vyuo vinawatema sana hao wenye sifa.....ila sio form six tena.
  7. S

    Taifa Stars waliwatoroka polisi Abidjan kimya kimya

    Ndio twajua wanawewkewa dawa wanachoka haraka sana...na kuishiwa nguvu kabisa.maji na chakula ndio vibaya zaidi ya vyumba kubadilishia nguo
  8. S

    Malipo ya cheki zaidi ya milioni kumi kufikia kikomo leo

    Nimeona nami tangazo bank zote...ngoja tuone athari zake hasa kwa wafanyabiashara...
  9. S

    Urgent Help: Theft of Computer related and other ICT items

    Pole sana kaka Aziz nikisikia nitakutonya.ila watajulikana tu maana mac ni brand adimu na wateja wako wachache wanajulikana.
  10. S

    Mwachieni Gire, nunueni mitambo ya Dowans!

    Wanalumbana tu kuhusu Dowans ila mwisho wa siku lazima wanunue kina mamvi wachukue mgao wao wajindaekupenyeza fitna uchaguzi ujao mnabisha?ndio hivyo....
  11. S

    Haya ndiyo makosa ya Masha kisheria

    Nawakubali wachambuzi wa mada nyingi sana hapa JF kwa kweli lau has to go....go go lau go..hilo moja ni kubwa sana inatosha uwezo wako bado mdogo rudi imma ukasubiri kufungua kampuni za deal ule commisin yako hapo ulipo hupawezi.
  12. S

    Kagoda: Ni Rostam

    Kagoda ni kama drama....haitakaa iishe kama tunavotaka
Back
Top Bottom