Kuanzisha University kwenye mkoa fulani haimaanishi watu wa mkoa husika tu ndo wasome. Pia inaweza kutumika na watu kutoka nje ya mkoa husika ambao watapenda. Watu kutoka nje pia wanaweza kuwa chachu na kuhamasisha watu wa mkoa huo kuchangamkia opportunity hiyo.
Je CHADEMA wataendelea na ushindi katika jimbo hilo?
Je NCCR,CUF na TLP wataweza kuwashawishi wananchi?
Je CCM itatumia Mbinu zipi kulichukua Jimbo hilo
Patamu hapo
Huyu Mengi naye ni mtu anayependa Public Sympath. Anataka tumwone kwamba kila anachofanya yeyeni sawa tu, akifanyiwa yeye kidogo antuonesha kwenye media zake kwamba kaonewa. Huu ni upuuzi kabisa
Hata hao wakiingia serikalini, bado kutakuwa na uozo huo huo tu wa kutetea blunder za serikali inapotokea wanachemka. na ndio maana tunakuwa na upinzani ili kuiamsha serikali
Vita ya panzi, furaha ya kunguru. Chadema waache porojo zao kwenye media, wakae chini na kutatua matatizo yao ndani. Hii inatuletea wasiwasi sisi ambao tumekiamini chama na tunaona kwamba ni mtetezi wa wanyonge. Sasa leo wanaanza kutupiana matusi. Je tutafika kweli?
Hafai kuwa Rais huyu.
Hana exposure wala elimu ya kutosha kuongoza vichwa vya Kitanzania. Ni mtu anayeigiza vizuri sana kwamba ana uchungu na nchi yake lakini kwa dhati kabisa amekaa kibiashara zaidi kuliko kujitoa kutumikia Taifa.
Angalau kijana wake Zitto anaonekana ni mtu mwenye uelewa na...
Haya malumbano tuliyategemea. Ndiyo tatizo la vyama vyetu vya upinzani, ndiyo maana havitaweza kukamata rungu. Zitto kuwepo kwenye kamati sioni kama ni tatizo, kwani alitafuta nafasi ya kuweka mambo bayana bungeni akabaniwa. Sasa huu ni wakati wake wa kufanya kweli halafu mnaanza kugawanyika...
Kwani kuna msomi yoyote makini hapa DAR hasa wa UD ambayae bado anahitaji kufafanuliwa juu ya huu UFISADI? Hizi habari hapa Dar tumeshazielewa, hebu sasa mkaziendeleze huko mikoani hasa remote areas kwenywe watanzania wengi. Halafu waje na WAY FORWARD sio kutaja list tu. Hali inaonyesha kuna...
Huu ni upumbavu kabisa, yaani anapongezwa kwa kuonyesha uwezo wake wa kufanya ngono hadharani? Hii BBA ni upuuzi ambao tumeuiga kutoka nchi za Magharibi kwa hiyo Watanzania na Waafrika kwa ujumla hakuna kitu cha maana tunachojifunza hapo.
Bora mamiss wetu angalau wana nidhamu kwenye...
CCM itaendelea kuwepo kwa muda mrefu tu unless juhudi za makusudi kabisa na za dhati zitafanywa na upinzani. kuna maeneo kadhaa ambayo wapinzani wanatakiwa wayaangalie. Kwa mfano kujitangaza zaidi maeneo ya vijijini ambayo pengine bado wanajua Rais ni Nyerere. Huko ndiko kwenye wapiga kura...
Kuonyesha hasira kwa kuchoma moto kwangu mimi haionyeshi chochote zaidi ya ushabiki usiokuwa na maana. Kwanza wamesababibsha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo, pili usumbufu kwa wanafunzi waliokuwa wanasoma pamoja na hayo pia wamesababisha woga kwa wananchi wa eneo husika. Ingekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.