Nawashukuru sana wachangiaji wa mada tofauti mlizochangia. Ninamatumaini makubwa na imani kubwa na nyinyi, kutokana na uwezo mkubwa wa utambuzi wa mambo.leo katika jamvi letu la jukwaa la taaluma tunaona ni muhimu kujadili suala zima la elimu ya sanaa kwa wasanii wa tanzania.tumeona matukio...
Wakati chuo kikuu cha waisla kinaanzishwa watu wengi hawakuwa na matumaini kuwa chuo hicho kingeweza kupata uongozi makini ambao ungepelekea wanachuo kusoma na kuhitimu masomo yao.hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za kidini zimekuwa chini ya migogoro.hali hiyo iliperekea sintofahamu...
Wakati chuo kikuu cha waisla kinaanzishwa watu wengi hawakuwa na matumaini kuwa chuo hicho kingeweza kupata uongozi makini ambao ungepelekea wanachuo kusoma na kuhitimu masomo yao.hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za kidini zimekuwa chini ya migogoro.hali hiyo iliperekea sintofahamu...
Tutaipongeza serikali kama italifanyia kazi suala hili muhimu kwa vijana wa kitanzania maana afya ni ujenzi muhim na muhimili mkuu wa shughuli za kimaendeleo ni adui mkuu wa maendeleo tuwajengee uwezo wanafunzi wetu wa kitanzania huo ni uzalendo wa kiukweri taifa letu halijengwi na mtu yoyote...
Habari za mda huu watanzania wenzangu na poleni sana kwa majukumu ya kulitumikia taifa.nina uhakika wengi mnamawazo makubwa ktk kusheherekea mwaka mpya maana baada ya sikukuu basi ni kuhakikisha kuwa watoto wanakwenda shule.hivyo mawazo yatakuwa zaidi ya mwaka 2011.poleni sana hayo ndo...
Migomo ya vyuo vikuu ktk mwaka wa masomo wa 2011-2012 umepungua kwa kiasi kikubwa sana.serikali inapaswa kupongezwa kwa hilo.lkn hoja yangu ya msingi ipo palepale kuwa kunauwezekano mkubwa serikali kutambua kwa kina vyanzo vya migomo vyuoni.matatizo hayo ni lazima yazingatiwe ili kuepusha athari...
Ni matumaini yangu kuwa watanzania wote tupo katika maombolezi ya maafa ya watanzania wenzetu waliopata mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunywsha.mungu ibariki tanzania mungu ibarikiafrc.ni siku chache zimesalia vijana wa kidato cha 6 wafanye mtihani wao wa kidato cha sita.hofu yangu...
katika hali isiyo ya kikawaida viongozi wengi wa vyama vya siasa wamekuwa wakidai uwepo wa katiba mpya kama chachu ya kuleta mabadiliko ya kisiasa katika nchi yetu ya Tanzania.maono hayo ni sahihi kwa kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuwa na fikra zamivu zenye ueredi wa kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.