Habarini?
Hivi majuzi nilipigiwa simu na watoa huduma kwa wateja kwamba, kutokana na Maagizo waliyopewa na BOT. Wamelazimika kupunguza kiwango changu cha matumizi yaani kutuma na kutoa hela kwenye simu kwa laini isiyo ya uwakala kutoka 20M mpaka 5M kwa siku.
Nikastaajabu sana kwanini...
Huku mpesa nako wameshusha toka mtu kuweka hadi 100M sasa ni 10M kutoa mwisho 5M. Yaani ni upuusi tu.Ndo maana watu wanaweka hela majumbani. Badala waweke benki na kwenye simu.
Sasa ndujgu yangu kama kwa akili hizi na wewe unajiona umejibu basi una shida kubwa Tanzania;
Kama,
kuruhusu maandamano ya amani, ndo kutazuia umeme kukatika basi SAWAA
Kumtoa Mbowe jela, kumuita ikulu na kutosikia tena wasiojulikama ndo kunaleta uwajibikaji makazini na kuzuia wizi wa mali ya...
Wakuu nina mpango wa kununua "SUBARU FORESTER 2.0XS'', Hela ipo shida nataka ya mileage ndogo walau, Imani yangu inanituma kuwa yeneye mileage ndogo itadumu zaidi. JE, NI KWELI??
Lakini pia, Ni website gani nzuri na yenye bei nafuu kwa kuagizia magari?
Nitaomba msaa wenu wa ushauri.
AHSANTENI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.