Habari wakubwa..naomba kuuliza je ni vitu gani hupelekea fingerprint za iphone especially matoleo ya 6,6s,7,7plus n.k kufeli?
wakati hilo halitokei au ni nadra kwa simu za android..
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wataalamu,
Naomba kuuliza kati ya hizi flat Tv mbili ikiwa ukubwa wake ni inch 32 zote ipi ni bora zaidi kuanzia durability, picture quality muonekano na value for money?
Asante, naomba kuwasilisha.
Hellows..asee ukiachana na kuchukia tecno. hakuna kitu sikipendi kama nikimpigia mtu mwenye tecno akipokea tuu utasikia kale ka vibration "bruuum"
je wew ni kitu gani hukipendi kwenye simu za tecno.?
kudos to other company i.e Samsung,HTC,LG,Iphone,Sony,oneplus,google pixel,blackberry na Huawei.
Habari za jioni Wana MMU..
Naomba niwapongeze waandaji wa series kwa ubunifu mzuri na story..nimejikuta natekwa zaid na maumbo ya wadada wa mule kiukweli ni hatari..yaan hujikuta nikiwahi kutoka office lazima nikae kideoni niangalie...hususani juzi wamemleta mtoto wa kinyarwanda ndo kabiiisa...
mtaalam unaweka funguo pamoja na simu yako mfuko moja? na hata kama ungeweka kama unatumia simu yenye kioo kizuri/imara kwa maana ya kwanzia gorrila glass 3 na kuendelea hilo haliwezi kuwa tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.