Search results

  1. I

    Jf is much far better...I Like to be here !

    Thnx guys! Asante sana Pruner kwa kanuni na sheria !
  2. I

    TRA wameshaita?

    Doh ! Intaviu tayari? Basi tena ukiona manyoya !
  3. I

    Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

    Nchi ina utaratibu, kuna sheria na huyo Tundu anazijua vizuri tu, tusilete mambo ambayo hayana msingi, Lema alikataa kutoka gerezani, kesi inasikilizwa tar 14 nov, ina maanisha tar 14 ndo atapata dhamana, sasa kwann Lema atoke pasipo kufuata sheria, au ndo cdm ikichukua nchi mambo yatakuwa...
  4. I

    Jf is much far better...I Like to be here !

    Hey members, surely hii JF inatisha, nimejifunza mengi within a week ambayo nimejiunga hapa...tuendeleze gurudumu hili kwa kubishana kihoja na kuelimishana. NB: Msamiati _ "Kameruni" umetawala sana...lol !
  5. I

    CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

    Kama hujui sheria ndo unaweza ukaona cdm wanamake sense, lakini ni upuuzi tu, eti Lema akatae kutoka ndani halafu cdm mtake atoke bila ya kufuata taratibu!? Si akae tu ndani kama alivotaka..mijitu mingine mikameruni tu...mmmxxxiiiiuuuu !
  6. I

    Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

    Yako wapi sasa? Wote ndani na watatoka kwa taratibu zilizopo...mtu akatae kutoka mwenyewe halafu abambelezwe kutoka tena na chaos juu...bomboclat f**l...upuuzi mtupu...nyie cdm
  7. I

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    we wamama sijui wababa, leta hoja sio matusi, hayatusaidii kuijenga hii nchi... PakaJimmy, kama kakataa kusaini kwanini tusimuwajibishe aliyekataa kwanini matatizo yawe makubwa bila ya sababu ya msingi? Tutaumia wenyewe wakati braza dk kj anakula maisha ulaya...
  8. I

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Angalia na ugali unaoumwaga ni wa nani #PakaJimmy Kukaa uwanjani sio kufanya Lema atoke, kufata taratibu ndio kutafanya Lema atoke, kuna shughuli nyingi za kufanywa na hao watu, kwanini wakae uwanjani kwa sababu ya kitoto kama hiyo!? Raisi Dk.Slaa ndo amekuwa wa hivi? Kwann watu wasiende...
  9. I

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Enzi za Mkapa hakuna mtu angefanya huo ujinga, atakaa ndani na atatoka kwa kufuata sheria na taratibu, mahakama sio shangazi wa cdm wala Lema. Sheria na taratibu ziliwekwa ili zifatwe...hatuwezi kuendesha nchi ktk misingi hiyo...
  10. I

    Watangazaji Wetu na elimu zao

    Watu ambao hawana degree huwa wakali sana, kipaji na elimu ni vitu viwili tofauti, kipaji nakikubali but elimu inakupa wigo mpana wa ufahamu na kuelewa mambo. No wonder watangazaji wetu wanaongea ujinga mwamzo mwisho... Elimu ya yule A.Aleikum wa Radio Mawing waliibandika some times back pale...
  11. I

    Aisee kumbe ni sahihi kulipwa kwa dowans

    Hoja ni kulipa Dowans na sio kujua nani mmiliki, na pia kujua mmiliki wa Dowans hata msiumie kichwa, kampuni huwa zina Memorandum of association ambayo ni public document kila mtu ana access nayo nayo memorandum inataja nani kaanzisha kampuni na ana shares kiasi gani, na adress za walioianzisha...
Back
Top Bottom