Search results

  1. M

    Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Good work Ndinda for enlightening the general public and the world at large on the gift given to us by God.Now,apart from the fact that they do not benefit the common man rationally,worse enough is the destracton of environment done greatly by the Government through granting of lincences to...
  2. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    these are good memories to be preserved forthe benefits of future generation...BRAVO!
  3. M

    WIZARA YA MALIASILI NA UTALII: Hoteli 60 zapaisha utalii wa Tanzania

    Yameongelewa mengi lakini uzembe katika swala zima la uhifadhi wa mazingira ya national parks na conserved areas haliongelewi.Ujenzi holela wa mahoteli kwenye mapitio ya wanyama pamoja na ujenzi wa barabara ya lami hifadhini hauongelei.Je ujenzi wa kiwanda cha madini ya phosphate lake natron...
  4. M

    Kafumu kuwa waziri wa Nishati na Madini

    A spade will always remain a spade and no news,or it will be a new wine in an old bottle hamna jipya so long as CCM still exist in power.
  5. M

    Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

    unajua sie tutabaki kulalamika wakenya wanasema mlima ni wao,kumbe wenzetu wanatupiga bao kwenye promotion na advetisements,bodi ya utalii haipo serious kabisa, juzi nimesoma uvumbuzi wa researcher mzungu wa lava tunnel mbili mt kilimanjaro kwenye the east african paper,huku bongo sijaona...
  6. M

    T.C.R.A Wanatumaliza; TiGO Nao Wanatunyofoa Ngozi, Chukua HATUA

    Kweli TIGO weshakuwa geedy for money sana,itakuwa bahati ya mtende kama utapiga simu yao ya huduma kwa wateja na ipokelewe,alafu huduma hiyo yalipiwa siku izi,uzuri nilishawahama.
  7. M

    Papaa Msofee alitia Doa Jeshi la Polisi na kumuaibisha Mama Tibaijuka

    The world is injustice from time immemorial hivyo usishangae,migodini wanauwawa wa tu hakifanywi chochote.
  8. M

    JK Kunguruma Arusha terehe 12 Nov 2011

    Mie sitegemei content yenye maana kutoka kwake Jk,kwani kwa mika 6 madarakani ameonyesha inefficiecy kwa kiwango kikubwa na hata wananchi washamgundua,ila naomba jeshi la polisi litumie akili zaidi kuliko nguvu.
Back
Top Bottom