Search results

  1. M

    Bei Poa Kupiga Simu Kwenda Tanzania Kutoka Nchi za Nje kupitia UmojaPhone?

    Ukienda kwenye site yao ya umojaphone.com utaona wanaonyesha kuwa wanapatikana karibu nchi zote duniani na wanatoka huduma ya support masaa 24 nadhani wamiliki wako USA na nchi nyingine sina uhakika.
  2. M

    Bei Poa Kupiga Simu Kwenda Tanzania Kutoka Nchi za Nje kupitia UmojaPhone?

    Siku kadhaa niliona hii kitu nasikia ndio wanaotoa bei ya chini ukilinganisha na makampuni mengine, nimejaribu na kuona kweli bei zao poa hasa kupiga simu kwenda Tanzania ni bei poa sana na mawasiliano simu ni moja kwa moja bila kurudia rudia. Kuna mtu mwingine ameshawajaribu tena ni ya...
Back
Top Bottom