Search results

  1. Isalia213

    Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Bado unapita m Bado una pita njia ile ile ninayopita mimi hao wazungu wanafanya yote hayo kwa maslahi yao kumshindikiza lisu airport sio kama wanampenda ni basi tu washaona inawezekana chadema au lisu ni njia ya kuwapeleka kule wanapokutaka juu ya tz
  2. Isalia213

    Mimi nawakana, hawa sio Wakristo

    Labda itakuwa hawa ni waislam maana haya yanatokea msikitini🥱😀
  3. Isalia213

    Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Yes, kwa hili inawezekana hata chedema na wao wanashindikizwa na hao mabalozi kutoka nje kufanya hayo maandamano
  4. Isalia213

    Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Kweli tofauti 'na wenzao wa zanzibar hata kipindi cha karume wengelikataa kamanda wengeshirikishwa kutoa maoni
  5. Isalia213

    Nani ameruhusu wanyama wa bara kupelekwa Zanzibar, lini maliasili na utalii imehamia Muungano?

    Huna lolote la kufanya wewe mwenyewe Unataka kulelewa kwani sio wajinga
  6. Isalia213

    CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

    Daah! Kama kweli vile sema tu hatupendi kuambiwa ukweli
  7. Isalia213

    Tanganyikanism tukutane hapa

    Kama zipi hizo shari walizozitangaza mkuu
  8. Isalia213

    Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Sasa msanii wa nini CHADEMA wakati huyo Tundu ni msanii tosha kama wengine
  9. Isalia213

    Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Hata wewe pia unachekesha kwa akili yako china, urusi, india na baadhi ya nchi kama south korea nk haziwezi kuingia hapo, huo ni mpango tu wakuendelea wa kujiona wAo ndio kila kitu.
  10. Isalia213

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Ndio akili zao hizo kwa kuwa wameitwa wapinzani basi kipinga kila kitu itawezekana vipi watu kupata maendeleo bila kujenga vitu vya kurahisishia watu kazi zao.
  11. Isalia213

    CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

    Kawaida tu hayo sio ya kwanza
  12. Isalia213

    Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

    Uyasemayo yana ukweli ni haki ya kila mtu kulipa kodi lakini serekali imewawezesha kwa kiwango gani wananchi wake katika maisha yao kuweza kulipa kodi au watu walipe kodi bila kujua uwezo wao wakati kwa sasa kilo 1 ya unga sembe inakaribia 2000.
  13. Isalia213

    Kenya wanatudharau sana haijawahi kutokea, wadai watanzania walio wengi akili hamna!

    Kweli hii tz hata kichaa anaweza kuongaza ni watu maridhia sana japo ni nzuri lakini mwisho tunafanywa mazombi hasa nikiona mambo haya ya tozo inauma ingawa kodi ni haki kwa raia juu ya uendeshaji wa serekali yao.
  14. Isalia213

    Tangu Mbowe atoke lupango hakuna tena upinzani, wote tuna macho na tunaona kinachoendelea

    daah! Umenikumbusha kumbe lisu bado yupo mara ya mwisho kumsikia kulipwa yale mafao yake ya ubunge, nimeamini mbwa mpe fupa ang'ong'e habweki tena.
  15. Isalia213

    Kenya 2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Kweli kabisa hata hapa tz wapo wanao kimbia madeni na kwenda nje ya nchi na wengine hufanya uhuni kibao mitaani wakiajibishwa na jamii utasikia sababu za kisiasa tu ndio zilizowaponza
  16. Isalia213

    EAC kuwa Makini na Uroho wa Rwanda

    Lakini umefamu ni wahamiaji wa aina ipi wanaoweza kukupa maendeleo, wanachofanya wa rwanda sio hivyo uonavyo wewe wao wapo kuiba mali za nchi jirani na kupeleka nchini kwao na kuanzisha makundi ya waasi mfano M23
  17. Isalia213

    Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

    Hata akihoji wewe itakusaidia nini kwanza pigania tumbo lako achakujipendekeza uonekane unajua siasa
  18. Isalia213

    Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

    Inawezekana wewe hujui chochote kuhusu maisha ya z'bar alichomisema muandishi kipo sawa sawa bidhaa kwa kipindi hichi zimepanda sana mfano saruji waziri wa biashara baada kuweka mambo sawa yeye ndio kaipandisha kabisa kwa kuagiza iuzwe kwa 18 elfu baada ya 15 elfu kwa mfuko mmoja
  19. Isalia213

    Swali toka kwa Fatma Karume kwenda kwa watu wa CHADEMA

    Tena hichi chadema ni zaidi ya ccm kinaendeshwa kifalme jaribu kuhoji tu baadhi ya mambo ndio utakijua nini chadema
  20. Isalia213

    Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Na ndio hapa tunazidi kufahamu kwanini wapinzani wa kweli hapa tz wanapata tabu sana kuendesha siasa zao ni vile tu wale hawapendi mawazo mbadala
Back
Top Bottom