Search results

  1. M

    Dr. Dau akielezea Westadi na mradi wa Majumba ya kisasa Kigamboni

    Inshallah allah amjalie kher Dr Dau Mtanzania mzalendo Kuna kisa kirefu kwa nini nilipelekwa kwa Dr. Dau lakini hapa si mahali pake na kisa chenyewe hakipendezi kwani ni huu ubaguzi wa dini tunaotahadharisha. Tulikuwa tukisafiri kwenda kwenye mikutano nje ya Dar es Salaam na mimi ndiye...
  2. M

    Bungeni: Zitto aigalagaza Serikali, Spika ashindilia msumari wa moto!

    Yah! bwa mdogo jepesi yupo right bse mpk sasa ukiachia hizo textiles to be absolutely perish kwenye korosho ndio kabisa kwa mfano juzi watu watandahimba walifunga barabara kuishindikiza serikali wapate malipo ya pili*(bonus) na korosho sasa hivi zinazovuna hapa kwetu nchini nikwaajili ya export...
  3. M

    Tukumbushane vijineno vya Marais mbalimbali kwenye hotuba zao

    ''Ccm siyo baba yangu wala mama yangu kama ni hivyo bora nurudi kwetu butiama nikaendelee kuchunga mbuzi'' Nyerere J.K
  4. M

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Tunashangaa nini wana jopo? Tumesahau kwamba anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.Wenzetu Ghana Rais wao prof Atta Mills na Yule waziri wa kigeni Uganda wameshapinga kauli ya kushinikiza ushoga ya Cameron kitambo mbembe anaushawishi kikauli tu but sio utendaji........Kazi ni kwetu...
Back
Top Bottom