hiyo ni picha ya rihhanna akionyesha ishara unayodhani ni ya chadema peke yake, hebu jaribu ku-google ujue historia ya hiyo ishara kabla ya kuja na kubwatuka tu, hata kama umetumwa na hao wala rushwa wa CC-M! This is the home of great thinkers. uwezo wako ni mdogo ulifumbwa na itikati mbovu za...
Yangu mengi yamesemwa lakini hili moja bado, wafanyabiashara kutozuiliwa kuuza bidhaa zao kwa fedha za kigeni kitendo ambacho kinachangia sana kuporomoka thamani ya shilingi yetu kila kukicha. Nawakilisha
Mzee Mtei umeona mbali kwa jicho la tatu, kesheni mkiomba Taifa lisije kuingia majaribuni. Mkuu anajaribu kunawa mikono kwa dini yake kabla hajaachia madaraka! be watchful
ccm hovyoooo..!
Taifa lina majanga kibao kutokana na kuyumba kiuchumi, sielewi serikali hii inawaza nini kuruhusu maamuzi ya namna hii ambayo yataigharimu tume ya uchaguzi (serikali) mapesa kibao! I hate ccm vr much....
muhuni mwenyewe, namshauri aandae mazingira mazuri mapema ya nchi ya kukimbilia baada ya chama cha wazalendo kushika hatamu za uongozi! yeye na wahujumu uchumi wote tutawachapa hadharani kabla ya kuwafunga/kuwanyonga! that day is coming and is very close!
Pole sana ndugu.
Sikubaliani na mjumbe anayesema unapimwa. Unapimwa kufanya nini? Kutembea usiku, kazi bila mapumziko, malipo kiduchu ili kukupa msongo wa mawazo? Hiyo ni kampuni ya aina yake. Mimi nakushauri uendelee kutafuta kazi. Hapo watakuharibu ukiwa bado mchanga katika duru za ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.