Search results

  1. M

    MRI and CT-SCAN Muhimbili, matengenezo yanazidi gharama ya kununua mpya

    Binafsisha na regulate prices. ....
  2. M

    Amwunguza wifi yake sehemu za siri

    UKICHAA si lazima kuokota makopo na kuhangaika barabarani tu! Ukichaa una aina nyingi tofauti tofauti. Alimradi kitendo alichokifanya mama huyu sio cha kawaida na ni cha kumdhuru kijana mdogo kwa kutumia 'adhabu' aliyoitumia, inaonyesha dhahiri kwamba ni mgonjwa wa akili na wote wanaoishi nae...
  3. M

    CHINA: Foreigners under spotlight

    Hapa pana somo ambalo tunaweza kujifunza!
  4. M

    Nauza Lamborghin Gullardo

    Too high strung and too low slung of our roads!!! .... not to mention the high risk of the uninsured TZNs smashing into it when brakes fail ......
  5. M

    Feast your eyes on these ......

    <tbody> Some of these are quite imaginative...but wearable?? <tbody> SERIOUSLY??? Where did you get those shoes? <tbody> <tbody> </tbody> </tbody> </tbody> I actually kinda like these!! Finally...
  6. M

    Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    Hii ni mada nzuri kwani imekuja wakati muafaka ambapo watu wengi wanaweza kujitafutia mbinu mbadala za kupata maji kuliko kutegemea DAWASA n.k n.k. Msisitizo uwepo kwenye ushirikishwaji wa utaalam wa uhakika yaani wahandisi wa maji kuanzia awali (sehemu za kuchimba) hadi hatua ya kudhibitisha...
  7. M

    Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Pia jaribu kutumia sabuni 'gentle' na zenye mafuta .... kama DOVE (huu ni mfano tu bila shaka kuna aina nyingine. Check with your pharmacist)
  8. M

    Mme wa shangazi nimwiteje?

    ni kweli ..... ndivyo tulivyofundishwa
  9. M

    Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

    Leo ni wachagga, kesho ni wa _________ when will it ever end? Huyu amekuwa mvivu wa kufikiria, amepata taflisi ya mawazo ya maendeleo hivyo anatafuta majibu rahisi rahis ikiwa na kutafuta cheap popularity. Hatuhitaji viongozi wa aina hii katika TZ ya leo ambayo imejaa matatizo mengi yanayohitaji...
  10. M

    France impounds African autocrats' 'ill-gotten gains'

    Wananazo rasilimali (resources) za kuwafuatilia hawa mafisadi ambao kwa muda mrefu (miaka nenda miaka rudi) wamekua wakihujumu coffers za nchi zao na kusababisha wananchi wao wawe masikini, lakini kwa vile na wao wanafaidika .........
  11. M

    TZ loses name to tanning-salon chain

    NEWSTanzania Loses Name To Tanning-Salon ChainSEPTEMBER 3, 2003 | ISSUE 39•34 ARTICLE TOOLS Email Print Share RELATED ARTICLES That 'Full House' Episode Where They Meet The Beach Boys Is On Tomorrow At 3 P.M. 10.01.07 Massive Oil Spill Results In Improved Wildlife Viscosity 10.21.97...
  12. M

    Viongozi wetu na 'title' bandia

    Lack of confidence maybe ...
  13. M

    Utani kati ya makabila

    Jamani hodi humu jamvini! Huenda swala hili limeshaongelewa huko nyuma ... mimi sijui maana mie ni mgeni. Lakini ni katika kutafuta ufahamu. Je UTANI kati ya makabila ulitokana na nini? Japo dhana hii ina mwelekeo wa kizamani / wa kale ukizingatia juhudi zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika...
  14. M

    Raha jipe mwenyewe!!

    hahaha! ..... very true ..... inatembea kwenye barabara zipi? maana hizi sports cars huwa ziko chini sana kwa madhumuni ya SPEED
  15. M

    Babu Loliondo kufilisiwa???

    True!! Hakulazimisha mtu .... Je wale waliomshikia 'bango' je?
  16. M

    Msaidizi wa Mwl. Nyerere (Mzee Kasori) alivyowashukia viongozi wa serikali ya awamu ya nne

    Tusichoke kuelemishana, tuendelee na zama za uwazi na ukweli. Pia japo yanatisha, tusiogope kuyaanika jamvini ....
Back
Top Bottom