Search results

  1. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naona timuatimua imeanza na Comolli akaja Daktari wa timu....Nilisoma sehemu M/kiti wa liver amesema hii timua inaweza kuendelea manake walikuwa na strategies, watawaondoa walioshindwa ku implement au ambao wameona ambao watashindwa kufanya hvy...So who's next......?
  2. L

    Msaada>>> Jinsi ya ku-sign application

    Nimeinstall application inaitwa signsis kwenye simu, kuna sehemu inahitaji kujaza/attach key, cert na sis nikitaka ku sign application ya helloox sa na nimejaribu kwa njia ya PC kwa kutumia PCsignSis na yenyewe inaleta habari hz hizo sa nimeshindwa niweke nini...au ka kutakuwa na njia nyingine...
  3. L

    Ni kweli kwamba nafasi za polisi zimetoka?

    Sorry wakuu, mbona nimefungua webu yao ya 'moha.go.tz' silioni, au ukishafungua lipo sehemu gani?
  4. L

    Wanafunzi wa udsm wana-raha!!

    Mkuu unafurahia kuporomoka kwa elimu UD? Kwenye hizo rank unazozungumzia kaangalie trend ya UD toka 2005 je kinapanda au kinashuka ndo utapata jibu
  5. L

    Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

    Hy ni comment, Sio barua ya kuombea kazi..Ka vp Muombeni Mod awape kazi Za Ku-edit kila 2nachopost
  6. L

    Mbunge Wenje amuumbua m/kiti wa bunge George simbachawene.....

    Same 2 Me!? Bora Warudi Mapema Mjengoni Waje Kuendesha Bunge Lao! Umemsahau Na Kamanda Mbowe, Af Mdee Nae Kawa Kimya Time Hizi?!
  7. L

    Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

    Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuongea Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af...
  8. L

    Wizara Ya Elimu

    Hivi Kwa Nini Wizara Ya Elimu Pamoja Na Umuhimu Wake Ndo Wizara Inayoongoza Kuwa Na Mawaziri Wabovu Toka Enzi Za Juma Kapuya, Joseph Mungai, Magareth Sita, Jumanne Magembe Na Sasa Shukuru Kawambwa?! Af Mbaya Zaidi Wengi Ni Ma-Profesa Na Ma-Dk..Manake Sidhani Ka Kuna Hata Mmoja Aliyeacha...
  9. L

    Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

    Mdhibitishiwe mara ngapi!? Ka unataka kujua nenda mwenyewe ukaone,.hv 2 + 2 inayofundishwa Udom Njia na majibu yake huwa ni tofauti na vyuo vngine?! Ok ka ni chuo cha kata na elimu inayotolewa ni mbovu,.hamna mwanafunzi wa Udom aliyeajiliwa?! Mf mbovu ni mimi nina kazi ya Maana, na nimeipata...
  10. L

    Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

    Hy anayesema Kn post za kazi zilitoka waka xclude Udom ulidanganywa na nani!? Uliza kwanza toka Udom ianzishwe imetoa products mara ngapi hadi useme hawafanyi vizuri sokoni!? Hii ndo mara ya pili kugraduate na ambao wapo kwny soko la ajira ni graduates wa mwaka jana, wa mwaka huu hata...
  11. L

    Msaada swali la DS

    Kwa Uelewa Wangu Kidogo Wa Economics Inabidi U disagree, sababu Uchumi Unaweza Ukawa Umekuzwau kupitia Sekta Ambazo Haziwezi kumsaidia Masikini Moja kwa Moja,.Mf Kupitia Madini,Utalii nk
  12. L

    Bachelor vs Degree

    Nimekupata Sinkala...
  13. L

    Bachelor vs Degree

    Ok, Maana Ya Degree Hapo Ni Nini Kwenye Bachelor Degree na Masters Degree!?
  14. L

    Bachelor vs Degree

    Habari Zenu Wana JF,. Naomba Mnisaidie Maana Ya Neno Degree Kama Inavyotumika Kwenye Bachelor Degree Na Masters Degree Katika Issue Za Academic,.
  15. L

    CLOUDS FM Wamjibu Sugu kwa Kumleta DMX

    Hilo Tamasha La Sugu Nna Wasiwasi na Kufanyika,.Najua Intelijensia Ya Polisi itatuambia Al Shaabab Wana Mpango Wa Kulipua..Kwa Kuwa Ni Tamasha la Wazi
  16. L

    Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

    Hivi Angechangiwa Mgombea Wa CHADEMA Mngeongea!? Walimchangia Jk sio chuo kama Chuo ila ni wanachama wa CCM Ambao wapo UDOM
  17. L

    Majoho UDOM

    ni elf 45, ila elf 20 inakuwa refunded baada ya kurudisha Joho..
  18. L

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    Tru dat Mwafrika, Mbona kuna Maprofesa Na Madokta kibao hawajui hata kujieleza like Jumanne Magembe, Kapuya, Kawambwa na Mary Nagu, so chuo kuwa na Ma Dk au Maprofesa Wengi sio issue, je wanaweza ku deliver?
  19. L

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    Jk, lowasa, chenge na mafisadi na viongozi wabovu kadhaa, hivi wamesomea chuo gani zaidi ya udsm!? Ubora wa chuo akili zako mwenyewe, na khs wanaosoma education kuwa na passmark mbovu, sio udom tu ni karibu vyuo vyote maana ni kimbilio la waliofell
  20. L

    Email katika nokia yangu.MSAADA

    Ka bado inazingua nenda GetJar | Mobile |, download kuna application inaitwa EMOZE ipo poa sana kwa issue za mail na simple kufanya configuration.
Back
Top Bottom