Search results

  1. BAOSITA

    Nauza movies HD za 2012 (Arusha)

    Sio vizuri kubana riziki za watu.Ukute ni bwana mdogo tu asiye na kazi sasa mnataka akaibe?Wewe kwakuwa una kijikazi chako ndio unajidai kuponda watu wanaojitahidi kujiingizia vipesa vya matumizi.Kama unahitaji hizo movies na una hela nyingi,fanya kama kumsaidia tu kijana wetu,atleast ameweza...
  2. BAOSITA

    Blackberry AppWorld.

    Hii problem nimeisolve jana tu!Tumia Blackberry desktop manager,ukiconnect simu yako utaambiwa update firmware ya simu yako,ukishaiupdate,kila kitu kitarudi sawa na appworld itaonekana!
  3. BAOSITA

    Blackberry AppWorld.

    Hii problem nimeisolve jana tu!Tumia Blackberry desktop manager,ukiconnect simu yako utaambiwa update OS,ukishaiupdate,kila kitu kitarudi sawa na appworld itaonekana!
  4. BAOSITA

    Laki 8 au 9 kwa Mwezi Naweza Kupata Nyumba ya Kupanga Kwa Beach au Jangwani Beach?

    Swali...uliwaza kuishi nyumba ya 1mil kwa mwezi miaka 10 iliyopita?Life is how you make it.It will never be fair.Period
  5. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Pole sana mkuu.Kama nilivyoeleza,inabidi kuimeza yote mara moja kwa haraka bila kusikilizia ladha!Ukimeza kwa kubeep itakushinda tu.
  6. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Ahsante.Ndio inatibu mpaka Amoeba mkuu!Pia ukiwa na ulcers ya tumboni inayosababishwa na bacteria nayo huponyesha!Nasema hivi kwasababu kuna watu zaidi ya 4 ninaowafahamu wamepona ulcers na Amoeba pia!
  7. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Ahsanteni kwa wote mlioitumia dawa na kurudi hapa jamvini kutoa 'feedback'.Naona maswali mengine yanajirudia sana wakati nilishayajibu hapo awali.Kwa yeyote mpya anayetaka kuijaribu hii tiba,naomba ajaribu kusoma majibu yangu yote ndani ya uzi huu kuanzia mwanzo.Ukiona mtu anakuja hapa kubisha...
  8. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nimerudi wakuu.Kuongezeka kwa hamu ya kula nadhani inatokea kutokana na aina ya minyoo uliyokuwa nayo awali.Nahisi hapo awali kabla hujanywa hii dawa ulikuwa unakula kwa kiwango cha chini sana.Tukumbuke kuna minyoo wasababishao njaa sana na wengine wasababishao shibe na kupoteza hamu ya...
  9. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Halafu na haya masuala ya kuchanganya na asali sijui limao nani kayaleta tena hapa?!!Hivi jamani mmeona maelezo yangu vizuri ama mnatunga tu na nyie yenu maana tusije kulaumiana baadaye ikitokea sumu!Nimetaja vitunguu swaumu peke yake,SIJATAMKA LIMAO ama ASALI!Sasa wewe kama unaamua sijui...
  10. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Sasa mkuu,sio lazima usikie hizo dalili za kichefuchefu.Watu tunatofautiana jamani.Wewe jua kwamba umekula na dawa imeshafanya kazi.
  11. BAOSITA

    Tofauti ya FISI DUME na FISI JIKE kwenye maumbile ya mifumo wa uzazi

    Tujifunze ku-Google wakubwa,utapata majibu yote.
  12. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Shukrani sana mkuu kwa kutoa ushuhuda wa dawa hii.Mungu akubariki sana kwani umesaidia na wengine wasio amini!
  13. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Ahsante mkuu kwa kutoa ushuhuda wako wa dawa hii.Kwa yeyote mwingine atakayepona asisite kuja kusema hapa ili watu wengine wasioamini wapate kuamini na kuitumia dawa hii.
  14. BAOSITA

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Inashusha pressure sana!Sasa kiukweli,sina uhakika kuhusu wajawazito kama itawafaa ama la.
Back
Top Bottom