Search results

  1. Ishaka

    Simuelewi mume wangu, 'anachat' na mama wa kizungu

    mrs minel, shika neno hili nikwambialo na ikiwezekana andika tarehe ya leo hii ninapokueleza yafuatayo, HUYO MUME ULIYENAYE HAMTAFIKA POPOTE MWISHO WENU HAUPO MBALI MTATENGANA TU. Pole. Msaada wako ni Mungu tu!
  2. Ishaka

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Zukisa, napenda nikujibu kwa faida ya walio wengi. Swali lako ni zuri. Kwanza lile tu wazo la kufuga, hiyo ni hatua dhidi ya umaskini. Kwauzoefu, ktk harakati za ujasiriamali, jambo muhimu sana kwa kuanzia huwa ni WAZO. sasa hilo wazo ikiwa kwa bahati mbaya umemshirikisha mtu asiyekuwa sahihi au...
  3. Ishaka

    Dawa za kihaya za kupambana na magonjwa yaambatanayo na HIV

    Mkuu nakosoa kidogo, dawa hii inaitwa KARANDALUGO (maana yake kutambaa juu ya fensi sababu ndiyo sifa ya huo mmea, unatambaa mfano wa mpesheni lakini vimajani vyake vidogo). Mmea huu ni dawa nzuri sana kwa wagonjwa wenye sukari. Dawa zingine maarufu ambazo hazijatajwa ktk orodha hii ni...
  4. Ishaka

    Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

    Siagi ipi? inajulikana kuwa siagi ni mafuta kama tanbond ya kupaka mikate, karanga paste, mgando wa mafuta ya ng'ombe n.k. Sasa wewe unamaanisha ipi?
  5. Ishaka

    Mzee Kingunge Ngombale Mwiru bado anaamini kuwa CCM imeishiwa pumzi?

    Hapa ccm haihusiki kwa namna yoyote, ni jitihada binfsi za Mh. Rais J.P.Magufuli usichanganye mambo hapa. Ni utekelezaji wa sera ya M4C ya Chadema ambayo yeye aliipenda akaiita Magufuli4Change. kuna M4C Lumumba?
  6. Ishaka

    CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

    Makubwa haya!!! sasa ile slogan ya tuwaenzi waasisi bado ina mashiko kweli! Na yule mwanasheria mkuu aliyetumia haki yake ya kidemokrasia kupiga kura ya hapana akafukuzwa kazi yuko wapi siku hizi
  7. Ishaka

    Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    Ama kweli mke wa mtu kasahau kiapo cha uaminifu cha ndoa wakati akivalishwa pete tunayoiona!! yawezekana pia huyo dume anayenyonya juice ni mwanandoa! sasa tuseme mwisho wa sinema hii ilikuwaje baada ya wapenzi hawa kusisimka kimwili ukizingatia wako karibu na kichaka!
  8. Ishaka

    Mwanasheria mpya Zanzibar hataki kurudi nchini

    Mtoa mada kaanza kwa kusema 'habari alizozipata juu juu, kisha kamalizia kwa kusema hizi ni tetesi' Sasa nashauri wote mliokusanyika mtandaoni kujadili umbeya huu tawanyikeni mkafanye shughuli za maendeleo acheni kupotezewa muda sababu muda ni mali.
  9. Ishaka

    Rwanda yaongoza kwa utawala bora ikifuatia Tanzania

    jMali, kiasi fulani uko sahihi kutegemea hizo tetesi za dictatorship dhidi ya serikali ya Rwanda ulizisikia toka kwa nani au chombo gani cha serikali hiyohiyo maana unasema hakuna chombo huru nchini Rwanda. Mimi si shabiki wa Rwanda kwa namna yoyote ila napendezwa mazuri yote yanayofanywa na...
  10. Ishaka

    Rwanda yaongoza kwa utawala bora ikifuatia Tanzania

    Utafiti huu kwa nchi ya Rwanda, binafsi sina shaka nao, ningeshangaa kama ingekuwa kinyume! serikali ya Rwanda ni mfano mzuri wa kuigwa barani Afrika, taka usitake!. Lakini nafasi ya Tanzania na Uganda katika utafiti huu waTasisi ya Mo Ibrahim juu ya Utawala Bora Afrika, si sahihi kabisa! marks...
  11. Ishaka

    Tuwekeni wazi Watanzania, mauaji ya raia na mifugo mkoa Kagera - serikali ipo likizo?

    Wana JF, jana usiku ITV walionyesha kipindi maalum kikiripoti matukio ya askari wanyama poli kuua raia na ng'ombe wao kwa risasi za moto kupokea rushwa, viongozi wa serikali za vijiji wilaya za Ngara na Biharamulo kutumia vibaya madaraka, kuuza maeneo ya wafugaji kwa wahamiaji haramu toka nchi...
  12. Ishaka

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Kuku wa "kienyeji asili" andiyo lakini asili ya wapi? Tanzania, Malawi, Msubiji au nchi nyingine yoyote ya africa, maana hawa wote ni asilia wanaotofautiana tu kwa sifa flaniflani kutokana na nchi husika mfano wengine wanene, wanataga tu hawaatamii, wanataga na kuatamia, miguu mirefu n.k...
  13. Ishaka

    Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

    Tatizo la siasa uchwara! huyu nape bado sana. Anakidharirisha chama na atakipigiza kwenye mtaro muda si mrefu
  14. Ishaka

    Hamad Rashid abwagwa kortini

    Naomba kujua ili twende sawa. Huyu HR ni yule alokuwa akishabikia wabunge wa CDM kufukuzwa bungeni ili yeye na wenzake waunde kambi rasmi ya upinzani bungeni, au ni mwingine huyu? na kama ni mwenyewe mbona alishahojiwa live kuhusu hatima yake baada ya kuvuliwa uanachama cuf akasema yeye si...
  15. Ishaka

    Tatizo la Takwimu: CCM imekataliwa japo inapendwa; CHADEMA inapendwa lakini...

    Mungu ibariki Tanzania, na watu wote wenye hofu ya Mungu
  16. Ishaka

    Picha: Ziara ya Kinana Geita

    Duh! inaonyesha amedoda. Kwanini sasa watu wanasusa au taharabu hakunaga!
  17. Ishaka

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Kwani inakuwaje endapo gari lako limekamatwa katika tukio la ujambazi japo wewe mwenye gari hukuwepo katika eneo la tukio lakini ni gari lako. Au tu kwa mfano tuseme ingekuwaje endapo kampuni hiyo ya meli mmiliki wake angekuwa ni Mh. Godbless Lema wa Arusha.
  18. Ishaka

    Halima Mdee aibuka shujaa Kawe

    Pole sana ndugu zangu wa Jogoo shida ya maji imekuwa ya miaka yote hasa eneo la ukanda wa bomba la gesi kule juu kuteremka hadi kati. Jamaa zangu wanaishi huko kila wiki inawagarimu sh.45,000 hadi 55,000 kununua maji. Biashara ya maji huko imeshika kasi watu wanashangaa bomba kuu la maji la Ruvu...
  19. Ishaka

    Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

    Polisi.....Polisi.....Polisi.....Jeshi la Polisi Tanzania!!!! Kero tupu, makashfa yao makubwamakubwa ya kikatili kwa raia! Natamani siku moja tupate serikali mpya iliyo makini, hizi kero zitabaki historia. Hii tuhuma ni nzito serikali ilifanyie kazi. Watuhumiwa ni jeshi la polisi sababu chuo...
Back
Top Bottom