Search results

  1. M

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Hapo huna mke ndugu yangu atakusumbua sana mtalapofunga ndoa.
  2. M

    Nimegundua mke wangu naye yupo humu JF

    Badilisha id yako faster kisha u m follow kujua anachokiwa anachangia
  3. M

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Pole huna wife material hapo maana ni pamoja na kuwa na mwanamke anayejitambua na mtiifu.
  4. M

    Nyie mlionishauri nimpe

    Tupatie mrejesho wa mbilinge mbilinge za chumbani nini kilijiri
  5. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Twaibu nikimaanisha kweli kabisa tusimkatishe tamaa mwenzetu ambaye alijitoa ku share experience yake ya maisha ya kupambana.
  6. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Duh hongera sana bro je mtoto wa tatu ni kutoka kwa mama J au Irenne? Tunasubiri kwa hamu sana hiyo updates tulikuwa tumeshakata tamaa ya kupata huo mrejesho.
  7. M

    Mama yake na rafiki yangu simuelewi

    Huyo mama anahitaji kusiginwa na hivi umesema hana mme acha kutuchosha kutuomba ushauri wakati jambo lenyewe liko wazi.
  8. M

    Hivi ni vibaya kulala kwa mzazi mwenza?

    Pole yake ila kumbuka kuna usemi unasema ukiona manyoya jua kuku keshaliwa!
  9. M

    Je kuna athari yoyote kutumia haya mafuta wakati wa kusugua Papuchi?

    Tatizo lake anaingia kwenye game akiwa amepania kumkomesha kisa ameshampa hela nyingi.Mapenzi hayaendi hivyo mapenzi ni kuridhishana kwa pande zote mbili na si upande mmoja tu.
  10. M

    Anaolewa tarehe 25 mwezi huu lakini ananipa mzigo kila ninapohitaji

    Mkuu sasa mbona umefungua codes zote kama mwenye nyumba wako anaelewa kwamba binti anaolewa hivi karibuni tambua hata muoaji atapata taarifa hii ta kubanjuliwa mke wake mtarajiwa na mambo ya harusi yatatibuka.
  11. M

    Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Mkuu vumilia ili uendelee kula asali ulishindwa jaribu hili utafukuzwa kama mbwa aliyeingia nyumba isiyo ya kwao
  12. M

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Usiache kutupatia mrejesho baada ya kuufanyia kazi huo mpango kazi wako na reaction yake
  13. M

    Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Unazingua mkuu bora uachane na stories zako zimeshaanza kutuchosha ukubali kuzagamula au achana naye ili maisha mengine yaendelee
  14. M

    Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Hiyo ni zari usiiache kama ana uwezo wa kujimudu for sure hatakusumbua kuhusu matumizi ya mtoto ukipendezwa vuta kabisa uweke ndani awe mke.
  15. M

    Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

    Kila mmoja ashinde mechi zake
  16. M

    Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

    Kijana move on ili maisha mengine yaendelee acha kulazimisha penzi kwa mwanamke asiyekupenda utakuja kufa.
  17. M

    Kisa kifupi cha kusisimua kilichonikuta wakati naishi Temeke

    Mkuu sasa hiki ni kisa kifupi au kirefu tufafanulie
  18. M

    Nimegundua hii njia ni salama na ya raha sana kwa mapenzi naenjoy sana

    Subiri siku ukimpata wa kuiuma zakari yako ndiyo utachanganyikiwa hadi usahau kutupatia mrejesho hapa jamvini.
Back
Top Bottom