Search results

  1. S

    Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Mimi nikipata mwenye mwanya tu huwa naridhika siitaji kitu kingine
  2. S

    Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Hizi episode zilikuwepo toka enzi ya Farao na wana Wa Israeli. Wakati yule mwanafunzi anapigwa ngumi na mateke kule Mbeya mawaziri wote walicharuka kuwa watawachukulia wale walimu hatua Kali. Wakati yule mama akichapwa viboko hadi akazimia na mimba ikatoka waziri Wa afya alisema atasimama...
  3. S

    Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

    Ndio maana Ndoa nyingi za kitanzania hazidumu manake watu wamebaki kuangalia Shep tu bila kufikria kichwani kuna nini. Wanaume tulio wengi tunapenda Shep tu hata kama ni jini.
  4. S

    Sikutaka kuwasikiliza ushauri wenu naomba mnisamehe

    Ngoja akusemee kwa wakuu Wa nchi kuwa ulitaka kumtoa kafara kwa kuwa ni mlemavu Wa ngozi. Shauri yako
  5. S

    Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Shown cartel nenda ukaoge maji ya chumvi baharini. Haya maneno ulinenewa hapa kutokana na ubaya wako na uchafu wako uliouleta hapa, hakika ni sawa na ulaaniwa na Mungu. Yani wewe subiri kiama hakuna jipya tena
  6. S

    Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Akiwa mjamzito ulimwambia atoe mimba akakataa ili akinusuru kiumbe cha Mungu. Mda wote huo akiwa kwenye ujauzito ulimtelekeza na hakuna matumizi yoyote uliyotoa kwa kumjali. Leo unakuja na mada eti unadhulumiwa haki yako, tena damu yako. Ningekuwa mimi ndie mzazi wa huyo binti unakuja kwangu...
  7. S

    Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

    Hakuna hata mmoja anaekufaa katika hao
  8. S

    Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

    Mleta mada nenda ukasome biblia maandiko ya Mungu katika kitabu cha Yeremia Mlango wa 17utapata jibu la matatizo yako.
  9. S

    Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

    Hapo umemaliza kila kitu. Na kama hachukulia siriazi huu ushauri wako basi atakuwa na lake jambo
  10. S

    HIVI HUYU KIMWANA AMEDATA?AU NDIO Style za Siku hizijamani?

    Gaidi mapango ya Amboni Tanga
  11. S

    Nisaidieni wadau ni muhimu sana..

    Njoo huku A.town nikupeleke sehemu inayoitwa Masai Camp, wapo wa kila taifa.
  12. S

    Wanawake wa TANGA ni noma

    Uji wa hiriki ndo nini mkuu
  13. S

    Ukatili Manyara: Mwanafunzi achapwa na walimu mpaka kufariki dunia

    Akili yako iko kama ya huyo mwalimu aliemuua huyo mwanafunzi
  14. S

    Msaada: Nakosa furaha na nina hasira

    Shetani yupo hivo yawezekana kuna nguvu za giza zitokanazo na shetani zinakufatilia. Nakushauri usimame katika kumwamini Mungu hakika atafanya jambo juu ya maisha yako na hiyo hali itatoweka kabisa
  15. S

    Ukatili Manyara: Mwanafunzi achapwa na walimu mpaka kufariki dunia

    Mtoto wangu akifanyiwa hivo nazikwa kaburi moja na huyo mwalimu
  16. S

    Wanawake wengine ni mumiani

    Hahahaha utani mwingine bana. we masai dada acha uchokozi
  17. S

    Nakodisha Gari aina ya Noah

    Mkuu hata kule kwenu kuna mgomba?
  18. S

    Usilie, jikaze kiume

    Mkuu kwani huyu mtu alibaka au alisingiziwa
  19. S

    Kipimo cha mwisho cha raha ya mapenzi ni kulia machozi mwanaume kugugumia

    Hebu nenda kazini, umeamka na mawazo ya kitandani,,,, halafu baadae utaanza kusema maisha magumu
  20. S

    Ukiwa ni wewe utamfikiriaje mama mkwe wako

    Kama vile ulikuwa kwenye mawazo yangu mkuu
Back
Top Bottom