Search results

  1. K

    Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Hivi kanuni ya uchumi inasemaje kuhusu kodi? Hapa tunaongelea walipe ama wasilipe kodi? Bado najiuliza
  2. K

    Wasifu wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles John Tizeba

    Waliosoma nje ya nchi na wakiwa wametoka tz na diploma walisoma masters kwa miaka mingi kidogo ambayo inakuwa imechukua degree humo ndani na nchi hii ni wengi tu zaidi walisoma Urusi. Kama unauwezo huwezi soma shule na chuo?
  3. K

    UKAWA wawasilisha hoja kwa Spika kumng'oa Naibu Spika Dr. Tulia

    Siwaelewi kabisa ninyi watu, kukata rufaa wabunge waliofukuzwa mkasema hawatatendewa haki, sasa hii ya kumkataa naibu speaker ndo watatendewa haki?
  4. K

    N/Spika amesema anasimamia kanuni zilizopo, ambaye hajaridhika na maamuzi akate rufaa

    Kama wameonewa kanuni zinawaruhusu kuyamaliza huko ndani wameshindwa nini? Mimi na wewe pambe tunajuaje wameonewa wakati hatukuona?
  5. K

    N/Spika amesema anasimamia kanuni zilizopo, ambaye hajaridhika na maamuzi akate rufaa

    Spika Msomi Dr. Tulia anasema Yeye anasimamia kanuni zilizopo na kanuni hizo hizo zinawapa wabunge nguvu ya kukata rufaaa iwapo tu hawakuridhika na maamzi ya spika. Mimi najiuliza nini kinafanyika Mbunge msomi Lissu, Mdee na wenzao wasipinge Kama walionewa? Mbona wanakimbilia kumsema Rais...
  6. K

    Tumechanganywa na nini?

    NANI HAJAMWELEWA MWENZAKE? Mambo ambayo yametokea nchi hii kwa juma hili yanaonekana kuchanganya wengi nami yawezekana ni miongoni mwa kundi hilo ambalo limejichanganya. Baada ya kufuatilia japo si sina nimegundua yafuatayo:- 1. Kundi la wanafunzi toka St Joseph lilirudishwa nyumbani kwa kusoma...
  7. K

    Rais Magufuli tuondolee huyu RC Mulongo mkoa wa Mara

    Mbona hueleweki? Amewavamia?
  8. K

    Niwe na PhD kukubali gharama za mradi wa Daraja la Kigamboni??

    Tanzania amending mchana na consultant ni mmisri ni niambieni hilo daraja la China consultant ni Nani na analipwaje
  9. K

    Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    Usipende kupotosha na kutafuta huruma zetu, Mbona Akiwa Meru nakumbuka Alimpongeza na kumsifu NASARI?
  10. K

    Dr. Tulia Akson - Mjumbe wa bodi ya bandari iliyovunjwa kwa ufisadi

    Hilo ni fumbo ambalo hatulijui kwani nani anajua amehusika vipi kuisaidia serikali kujua uovu au katumia mwanya kujinufaisha. Huenda najiuliza hivi board kuvunjwa ni kiashiria cha wana board kuwa waovu? Na spika harusiwi kuwa mjumbe wa board? Baada ya kujiuliza hivyo nawaza tena Tulia mbona...
  11. K

    Najiuliza Urais ungefaa nini UKAWA?

    Hao wabunge wa ukawa walioshinda ndo wameiba pia au ndo wababe, kwani ile idadi ya madiwani 1020 kwa 200 imetoka wapi. Huo ni ushabiki wa mihemko na siyo fact
  12. K

    Nawapenda UKAWA, ila kwa hili mnadanganya umma

    Yawezekana tukikaribia uchaguzi hakuna lolote linatakiwa kufanyika.
  13. K

    ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    Jamani tusisahau kwamba ni makongoro alimwita lowasa mwizi na kibaka tena wote wakiwa ccm watu wakashangilia hasa ukawa leo unalalama nini
  14. K

    Hii ndo timu ya kushangilia bila presha

    Lukaku si mchezaji wa Everton mkuu yy Chelsea kule aliazimwa tu ili acheze kuliko kukaa bench
  15. K

    TCU guide book for academic year 2014/2015

    inapatikana wapi? mi nimeangalia mtandaoni sijaona iyo guide book,
  16. K

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Twende yanga twenda baba hacha hao simba njaa mdebwedo
  17. K

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    haha simba ya Rage hii bana, tena hata mafuriko hayajawakuta kabisa. wangekuwa jangwani kulala umesimama ingekuwaje
  18. K

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Arusha kumetulia lazima wajeda waruke kichura chura
  19. K

    Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Mungu ni mwaminifu, elekeza maisha kwake wakati huu pia usiyape manunguniko nafasi bali kumshukuru Mungu na kumwomba akupe busara za kuishi kwa Aman na kuwasidia wengine kujiepusha na uzinzi kabla ya ndoa pia kuwa waaminifu. Siku zote naamini kondom ndo zinatumaliza ila Bwana anaweza kutuokoa...
Back
Top Bottom