Search results

  1. A

    Uume wangu una matatizo wanawake wananikimbia

    Mwee! pole kaka angu uumbaji wa Mungu hauna makosa.
  2. A

    Weekend ndio hiyoooooooooo

    Hakyi yanani hii ni sodoma. kama wkend yenyewe ndo hii bora nikae nyumbani niangalie tv
  3. A

    Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!

    Hongera mwanakwetu ucsahau kumtolea mungu sadaka ya shukurani
  4. A

    Tujifunze kukubali kifo ni sehemu ya maisha pia........

    hapo kwenye red sio yeremia ni nabii isaya
  5. A

    Kuashiria nini hapa???

    hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...................... Mbavu zangu
  6. A

    Happy birthday

    hata kama kichekesho kimeshapita tunaupdates still kinachekesha nalog out
  7. A

    nameless

    Mwee picha zingine bwana!!!!!
  8. A

    Uzinzi umemponza

    Atufigwege nawe kwa kusahihisha ujambo!!!!
  9. A

    mavazii mengine banaaa

    I see hiki ni kizazi cha nyoka!
  10. A

    Msaada jamani

    kwenye report hasa ukitumia window 7
  11. A

    Msaada jamani

    Jamani naomba nisaidie mwenzenu procedures za kuandaa table of content na kuchora chart like histogram na pie chart
  12. A

    Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

    Kumpokea yesu kuwa mokozi wa maisha yako na hasa ukiwa umezama kwenye maombi
  13. A

    Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Thanx 4 ur advice may god bless!!!!!!!!!
  14. A

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Mambo vp wana Jf. Fikiria We ni mwanaume una mkeo mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kidogo kama miaka kumi hivi na unaipenda sana ndoa yako na wife anakuamini kupita kiasi, harafu ww ni mtu wa maji(pombe) sana. Siku moja ktk pitapita hizo sehemu unazopatia maji mara ukapata kimada (nyumba...
  15. A

    Kupiga nye*o

    Daa! Pole sana mkuu lakini muombe mungu sana coz kwa kufanya hivo ni hatari, me nakuomba uache mara moja.
  16. A

    huu Unyam wa hawa wanao amini imani potofu utakwisha lni? kwetu kuna Serikali kweli?

    Mungu peke yake ndio atakwenda kushughurika na hawa watu, tumwachie Mungu tu.
  17. A

    Duh msala nimempa mwanafunzi mimba

    Majuto ni mjukuu ..... Lakini co mbaya kama tutakuita baba kijacho
  18. A

    Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

    kunywa aloevera siku tatu mfululizo utakuwa fine tu.
Back
Top Bottom