Search results

  1. N

    Kufanya mapenzi bila kinga

    kupima ni jambo moja je majibu yanaonyesha nini?
  2. N

    Hakuna mwanamke ninaye mchukia kama mama yangu

    ujumbe umefika,bali najiuliza jicho la mtu mzima kuwekewa mtoto mdogo huo niuongo usiofanana na ukweli...!
  3. N

    Msaada pls!

    unaishi wapi na msichana aliyemaliza drs 7 mwaka gani?
  4. N

    Aibu hii ikikutokea utauweka wapi uso wako?

    acha aibu kwa wakati huo haikuwa chupi bali ni kofia ya mtoto ndiyo sababu aliivaa na pia ni tukio la kukumbukwa haliathiri chochote
  5. N

    madocs ya mitumba halahala na wake zetu!

    Ushaona fundi cherehani akitafuta kujua kiuno cha mrembo,kifua, msamba ni balaaaa tupu kuwa mpole acha maisha yaende usije kufa kwa shinikizo la DAMU!
  6. N

    sijatembea nae ila......

    stick kwenye ukweli na katoe taarifa polisi kwa usalama wako na afahamu kuwa taarifa zake za vitisho zipo polisi.
  7. N

    Simu inakata stimu!

    mbadilshie mipigo kakaaaa kitu kimetinga kisawasawa kinasugua panapo muwasho hatakumbuka simu ya biashara...Biashara itabaki moja tu ya hapooo...hapooo..uuuwii...
  8. N

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Tembelea ofisi zao ili uwe na uhakika na hojaji zako
  9. N

    Hodi wana JF

    nipokeeni kidume mwenzenu
Back
Top Bottom