Search results

  1. A

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Natia shaka unafiki wa watu hawa kwa mustakabali wa nchi yetu.
  2. A

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    Nathani uwe mtafiti kwanza kuliko kubwabwaja hayo unaposema wabunge hawakai majimboni?nonsense,wenje yukn jimboni na kabla ya kikao alikuwa jimboni the same 2 mnyika mpaka watu wakakamatwa bada ya kuzuiwa mkutano wake.kwa hiyo itendee haki jf kuwa critical thinking of ur threat pliz
  3. A

    Jamani namtafuta mbunge wangu nani kamwona? Je nani mwingine mwanajf anamtafuta mbunge wake?

    Mi niko kwa wamakonde toka wamchague mwarabu wao murji aliye wanunua kwa hela nyingi sasa anarudisha zake.hajawai kuonekana jimboni au hata mjengoni.
  4. A

    CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE

    Huyu mtu anatumia kichwa cha chini kufikiri,badala ya kusema ccm imeamua kuwaadhibu wananchi wake anasema cdm ndo wameamua kuwaadhibu wananchi kweli huyu masaburi
  5. A

    Wabunge wanaoboa!

    Mm ni huyu chiligati ameshindwa kulisaidia jimbo lake.wanafunzi wanakaa chini,maji ni kero.wanafunzi wanalala chini,kibaya zaidi ana mtoto wa kaka yake anasoma pale shuleni chikuyu.kwake ni mita 10 na pale shuleni lakini sijawahi kumuona akiwasaidia kwa hilo.ashame on them these guys (magamba).
  6. A

    Wasanii wa tz na wimbo wa miaka 50 uhuru si unafiki tu.

    Hivi unadhani wa bongo na makuward hali ya nchi wanaiona lakini wanavyosifia.tatizo ni umasabuli ndo mana roma hakuwepo
  7. A

    Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

    ccm salaaaama.mie napita yakheee.allah cdm mhh!
  8. A

    Hivi hili la mzumbe university limekaaje?

    Ukiwa nje nadhani watu wengi watakuwa na msimamo hasi ju saut lakini binafsi si makazini tu ila hata ktk sehemu mbalimbali nimeona product ya saut imekuwa marketable sana,hapa kwetu mkurugenzi anasema angekuwa anaajili yeye anawapenda sana product ya huko,naambiwa wanasoma vitu vingi kuliko vyuo...
  9. A

    Mbowe atikisa gereza la Lema

    mbona watu mnakuwa masaburi aliyekuambia akwenda nani wakati zito alinukuliwa akimpongeza slaa na chama chake kwa kuwa karibu naye
  10. A

    Ripoti ya "ajabu" ya NAPE huko Houston...!

    mbona juzi nape alionekana yupo class.na huko anawadanganya tu mana hawajui jinsi wa2 wanavyoteseka huku hasa vijijini kwa kulinda mafisadi
  11. A

    Viongozi watatu wa ngazi ya juu chadema kuhamia ccm

    ebu kuwa muazi wewe ni magamba bila kusita.ndugu ukiwa nje ya system nchi yeyote nchi lazima useme hivyo,ila ukiwa ndani ya system lazi uwaunge mkono chadema.naomba sababu tatu za kuwaita cdm ni wahuni?
  12. A

    Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

    Mimi binafsi nadhani kama atakuwa kwenye mawazo yangu ndo mda muafaka wa kufanya utafiti makini kwa wale ambao wamebambikizwa kesi na wengine mda mrefu hawaja pata hukumu za kesi zao na kutoa hadharani kama waziri mambo ya ndani kivuli.
Back
Top Bottom