Search results

  1. P

    Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa

    sawa sawa kaka, madaktari wetu wengi wanasoma ili wafaulu si kuelewa na wawe professionals ndio maana mgonjwa anayetakiwa kufanyiwa operation ya kichwa anafanyiwa ya goti na yule anayetakiwa kufanyiwa operation ya goti anafanyiwa ya kichwa, sasa si heri tunywe miarobaini tu
  2. P

    Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa

    Tutakapotunga katiba mpya tuweke sheria, ya kuwabana wanasiasa na mawaziri kutotibiwa nje au kusomesha watoto nje ya nchi, na atakayefanya hivyo basi ajiuzulu kwanza nafasi yake, the same kwa wale wanaotaka kuchanganya biashara na siasa. Kwa kufanya hivyo hospitali huduma zitakuwa nzuri na...
  3. P

    Wa TZ Ughaibuni Wanaoweza Kumsaidia Dr. Wa Ukweli

    hizo rasilimali zilizo ughaibuni ziendelee kukaa huko huko, hatuzihitaji, kwa kuwa wangekuwa na uchungu na nchi yao wangekuja kuisaidia sio mpaka tuwaombe. balali álichukuliwa kwa nguvu kutoka imf lakini angalia alivyotu cost
Back
Top Bottom